Mbinu ya awali kujua kama unalea mtoto wako au wa mwanaume mwenzio

Wee hii sio justification ya kulea bao la mtu aisee, kila mtu aleee bao lake, unaleta habari za karne huko hata DNA ilikuwa haijulikani
 
Wee hii sio justification ya kulea bao la mtu aisee, kila mtu aleee bao lake, unaleta habari za karne huko hata DNA ilikuwa haijulikani
Tena nyie wa hivi ndio mnapigwaga za kichwa ukija mtandaoni unajidai una msimamo ila ukute ushashikishwa😂😂
 
Mkuu unajua kitu kinaitwa alleles? Tuanzie hapo kwanza??
 
Njia ya kienyeji ya kujua mtoto sio wako siki akizaliwa kwa mara ya kwanza akianza kujua kufungua macho na kumwangalia mtu. Kama baba yake jaribu kumpea eyes contact huyo unaezani ni mwanao. Ukiona gafla umepata kauchachu /uchungu moyoni kama mtu alie kula ndimu au embe bichi basi nenda kapime DNA.
 
Acha upumbavu wewe
 
Mkuu unajua kitu kinaitwa alleles? Tuanzie hapo kwanza??
🤣🤣
Umemaliza Form six mkuu au form four 🤣🤣
Maana ndo maswali ya Form four na Form six leaver wa PCB..

Ok Najua Allele na Najua vingi kuihusu offcuz najua kuhusi Genetic Engeneering pia....

Unajua kuna aina ngali za magroup ya Damu? Na kwanini Iitwe Rh?
🤣🤣..
I think nakushauri Usome mkuu Utajua KwNini nasema Blood Grouping its Not a Better analysis
 
Bora kupima DNA tu.

Kama huyo ke ana O, kitu recessive, na wewe una AB[emoji23], unaona hesabu zake?

Haya kuna uwezekano aliyekuchapia ana group kama yako

Haya ni mahesabu ya kubahatisha tu, DNA uhakika 100%
DNA yenyewe kapima nje ya nchi hapa bongo kama mtoto sio wako utapewa majibu ya mchongo kwa kisingizio cha kulinda masilahi ya mtoto
 
Uongo mkubwa, unaweza ukawa unafanana na mtoto kwa muonekano wa nje na bado akawa siyo mtoto wako (not his or her biological father). Yawezekana mwenza wako amebebeshwa ujauzito na ndugu yako wa damu wa karibu kama vile mdogo wako au kaka yako, kisayansi mtoto aliyezaliwa bado upo uwezekano mkubwa sana wa kufanana na wewe kwa sifa za muonekano wa nje na hata kwa baadhi ya sifa za za ndani yaani kwa kiasi Fulani kutakuwa na mfanano wa baadhi ya sifa ktk mpangilio wa DNA kati ya yako na huyo mtoto ingawaje mtoto siyo wako.
Katika kupima DNA, kuna vipengele 15 ambavyo ni LAZIMA vyote vioane kwa baba na mtoto ili kuthibitisha uhalali wa ubaba wa mtoto husika.
 
• Mtoto wetu ana group O Rh +
• Mke Wangu ana group O Rh +
• Mimi nina Group O Rh +

Naomba unisaidie mkuu, ili nijue kama ni mtoto wangu au siye 😟.
 
Hongera sana mkuu mimi ndo nimemaliza form 4
 
• Mtoto wetu ana group O Rh +
• Mke Wangu ana group O Rh +
• Mimi nina Group O Rh +

Naomba unisaidie mkuu, ili nijue kama ni mtoto wangu au siye [emoji45].
Je una wasi wasi wowote juu ya huyo mtoto??
 
Mm blood group yangu ni B+ nielekeze mama na baba possibly wanaweza kua blood group gn?
 
Sasa kulikuwa na shida gani kuwafundisha hapahapa [emoji23]aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…