Mbinu ya Maisha kwa vijana: Kataa Mwanamke Masikini

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yaani watu tumsisikilize Khadija Kopa na Mzee Yusuph kisa Nini?tunaweka vizuri taarabu zetu,angeshinda kutafuta hela angeisikia Wapi,...Sasa na huyu ajiandae

Jf vichaa wengi stress zao za ndoa wanatuletea huku [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aisee nashauri baada ya bandari na Ikulu ya Chamwino na makabrasha yote yaliyomo ndani yake iuzwe kama akili za raia ndio zimeishia hapa.

Na wenye changamoto ya afya ya akili nao wauzwe wakawe watumwa tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Uozo tupu
 
Kaka mimi niliwahi kuwa na hiyo mentality, nadhani ukuaji wangu wote..

Sikutaka kabisa wanawake maskini, na maskini niliokuwa nao walijua tu sipo kwao kwa mahusiano ya kudumu.

Umri ulipoenda, nilikuja kujua ni makosa makubwa kwa mwanaume kuwa na mwanamke tajiri, hutoweza kuwa mwanamume mwenye power za kiume.

Nature inatumbia
Mwanaume ni guardian kwa family
Provider
Decision maker

Na pia mwanaume hutegemea
Utii na heshima kutoka kwa mwanamke
Kuweza kumcontrol mwanamke na familia

Hv vitu vikishindwa kutimilizwa automatically amani hamna kwenye hayo mahusiano
 
Vilevile ukiona mwanamke ambaye anatoka katika nasaba(ukoo) wenye uwezo wa mali fanya juu chini usimuache.

Amini amini nawaambieni hakuna utukufu wala heshima katika umaskini.
Unavuta kismati au siyo?
 
Pedi Tena?Niko zangu menopause kwa Raha zangu.....Panua ubongo wako tafuta maisha yako kupenda kitonga mashemeji zako wenye Mali zao watakushughulikia
Kama wanavyokushughulikia wewe chakubimbi?
 
Tajiri hatawaliki, anataka haki sawa na mwanamme ni mtawala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…