Mbinu ya Maisha kwa vijana: Kataa Mwanamke Masikini

Abaki na uchoyo wake mwenyewe
 
Sasa safari hii hili pilau tuhakikishe tunakula!tutapewa kilema tukimkimbia na shemeji huyu,maana Nimeona kila mtaa wachunba wapya wanakunyemelea[emoji1787]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ajitahidi kukamilisha taratibu mapema lasivyo ataachwa
 
Kupanga ni kuchagua.
 
tafuta hela.
 
Mwanamke na Mwanaume wote wameagizwa kufanyakazi na kuzalisha Mali na kuepuka utegemezi.
 
Ni kweli maskini walio wengi huwa na tabia za uchawi na ushirikina.

Mwanaume lazima urogwe na nduguzo .

Anajua iwapo ukimwacha hatapata pa kwenda na kupata kujikimu mahitaji yake ya msingi hivyo anaamini katika kukuroga tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…