Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
Mie huwaambia watu usiseme chakula huli sema chakula hakijapata mpishi.Mlenda sijawahi kuuula
Kisamvu nishawahi ni kibaya sana
😂😂😂😂😂 Unajua hizo NYANYA CHUNGU sio kama inapikwa kwa kuwa uliacha pesa ndogo... Laaah ila unakuta kuna wadada wanapenda tuu sasa mi huwa na pdf yangu kabisa mlangoni...Kwani unapoacha hela ya mega si unasema upikiwe nini au anaamua mamsapu cha kupika?
Mahindi ya kukaanga si ndio mabisi hayo? 🤣🤣🤣Wakati nalelewa nilikua sili kabeji,nyanya chungu,dagaa na vingine yani nilikua nachagua vyakula ila sasa hivi nakula mpaka mahindi ya kukaanga kwa hyo usijali life ndio linakuchagulia ulaje
Chinese Mustard GreenHakuna mboga inaitwa Chinese Ed.
ndio maana huna afya nzuri kwa kukosa virutubisho vilivyopo kwenye mboga hizo1.Mchicha. 2.Mlenda. 3.Kisamvu. 4.Dagaa wa mwanza. 5.Chinese. Hizi mboga sizielewi sijui kwa nini watu wanazipenda
Ushawahi kula lilende weweMamilenda nayachukia mno japo tulipokuwa wadogo mama alikuwa anatulazimisha tuyale.
Hasa yale mamilenda ya kusaga ya unga, hayana ladha hata.
Na KABEJI sijui CABEGI, mamboga ya hovyo sana unakula kama unatafuna matutusa.
Mbaga Jr Poor Brain Kapeace Extrovert Lamomy FaizaFoxy mshamba_hachekwi
Bhe
Yaya ghete nkoyi, abhise tulibhadimi bhang'ombe, mabhele gagwita nyanda😂😂
Chinese ja tughosha tw
🤣Kwamba sasa tughosha twa dsm😂Yaya father bas kwandya lelo naleke kloya chinese(kwa wasio elewa kuanzia Leo sili Chinese nawaachia wanaume wa dsm)Bhe
Yaya ghete nkoyi, abhise tulibhadimi bhang'ombe, mabhele gagwita nyanda😂😂
Chinese ja tughosha twa Dar
Sasa na sisi wa kipato cha Dolar moja itakuwaje?? Maana ndo chakula affordableWANAUME MSILE CHANISE sio nzuri kwenu ni ushauri tu ahsante.
Tumia mchicha,mtindi,saladi,dagaaSasa na sisi wa kipato cha Dolar moja itakuwaje?? Maana ndo chakula affordable
Tumia mchicha,mtindi,saladi,dagaa
Kula tuu Mkuu,zinasaidia kwenye Afya zetu hata kwa kulazimisha, magonjwa yakianza kukuandama ndio utajua!1.Mchicha. 2.Mlenda. 3.Kisamvu. 4.Dagaa wa mwanza. 5.Chinese. Hizi mboga sizielewi sijui kwa nini watu wanazipenda
Cabbage hadi kesho siipendi😂, nilipokuwa mdogo vyote vilivyotajwa nilikuwa nakula sana tu.Mamilenda nayachukia mno japo tulipokuwa wadogo mama alikuwa anatulazimisha tuyale.
Hasa yale mamilenda ya kusaga ya unga, hayana ladha hata.
Na KABEJI sijui CABEGI, mamboga ya hovyo sana unakula kama unatafuna matutusa.
Mbaga Jr Poor Brain Kapeace Extrovert Lamomy FaizaFoxy mshamba_hachekwi
Mboga gani hio myIbarikiwe hii mboga na aliye igundua heri zote njema ziwe kwakeView attachment 3139923
MKUU ONGEA NA DADAAKO AMWAMBIE MUMEWE KAMA WEWE KAMA SHEMEJ UMEZCHOKA ABADLSHE MENU1.Mchicha. 2.Mlenda. 3.Kisamvu. 4.Dagaa wa mwanza. 5.Chinese. Hizi mboga sizielewi sijui kwa nini watu wanazipenda