Mboga nisizopenda katika maisha yangu

Sadin!!?
 
Hayo maharage kama gololi ni njugu mawe. Ukitaka nilale njaa pika hayo hata jikoni sitakuja.
Mimi njugu mawe hata ile harufu yake sipatani nayo.
Nimejaribu kula vyakula vyote ambavyo nilivokuwa mdogo vilikuwa vinanishinda...vote nimeviweza kasoro njugu mawe. Yaani mie nyumbani kwangu sijawahi kuzipika ht Kwa bahati mbaya
 
Mimi basi nyanya chungu ziungwe za nazi hlf zifanye km kuungua hivi kdg...mmhh naweza kuzila bila ht wali au ugali πŸ˜‹.
Nilivokuwa mdogo nami sikuwa nazila ila saiviii mmhhh huwa nazinunua mwenyewe na kuzipika.
Halafu vyakula vyenye faida ndio vimekosa bahati
 
Unawazimu wewe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Et vyakula vyenye faida πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Una matatizo wewe
 
Et zifanye kama zimeungua hivi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kichwani una nini wewe
 
Et vyakula vyenye faida πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Una matatizo wewe
Nimeona watu wenye pressure ya kupanda wanakula sn wanasema zinashusha. Nikimuona marehemu mama akizipika sn akisema zinamsaidia kwa pressure. Sa kipindi hiko mie ndio nlikuwa sizielewi na ule uchungu wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…