Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
- Thread starter
- #41
Kamanda mwenzangu nakukubali. Sisi tunataka kujua deni la serikaliHuo ujinga wa Mwigulu ndio shule?! Itakuwa unaumwa ww sio bure.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamanda mwenzangu nakukubali. Sisi tunataka kujua deni la serikaliHuo ujinga wa Mwigulu ndio shule?! Itakuwa unaumwa ww sio bure.
Kamanda mwenzangu nakukubali. Sisi tunataka kujua deni la serikali
Huku nako...Haeleki kabisaView attachment 2443196
Usinikane jamaa yangu. Tunataka kujua serikali inadaiwa tril ngapiMimi sio kamanda mwenzako, katafute makamanda wenzio pls.
Serikali ikidhamini ni sawa tu kusema deni la SerikaliHaeleweki kivipi ? Haujui ya kua kuna private sector wanakopeshwa na banks na tahasisi tofauti nje ya Nchi masharti ni kwamba serikali inawadhamini, madeni wanalipa hao waliokopeshwa
Wewe ulikaririMkuu Kama shule ilikupiga kusho huwezi elewa chochote. Hii ni lecture ya mwaka wa pili wanaodoma B.A economics au finance.
National debt= public debt + private companies' debts.
Hivyo alichosema mwigulu ndoshule yenyewe.
Hili ni Swala la financeKasome uchumi, ujinga wako usiwe mzigo kwa wengine. Shule mkimbie halahu msumbue wenzenu? Shwani
Definition ya national debt:Duh aisee yako mengi siyajui kumbe...sasa nauliza wenyewe wakiko
pa wanaweka nini bondi au ndo vitu walivyowekeza?ebu wataalam wa masuala ya uchumi tutoeni tongotongo
Kwanini Asiseme DENI la Serikali ni Tri. 71 na Deni la Sekta binafsi ni Tril.20 kuliko kusema Deni la Serikali ni Tril.91 wakati Serikali atalipa lake na Sekta binafsi itakipa lakeMbona mimi nimemuelewa!...Yaani mfano mzuri ni huu let say deni la nyumba x=Sh 15 mpangaji namba 1 sh 5,mpangaji namba 2 ni sh 10,kila mpangaji atalipa deni linalomuhusu mwenyewe bila ya kujumlisha deni la mwenzie yaani ndio kama hivyo Serikali italipa deni lake na sekta binafsi italipa deni lake kwahiyo jumla ndio deni la taifa(deni la nchi ya Tz )
Hao wanatuchanganya tu tatizo na bungeni hatuna watu makini huyu ilikua anapigwa maswali mpaka anaeleza ukweli.Hapa kuna maswali ya kujiuliza.
Hayo makampuni ni yapi?
Na je, yamewekewa dhamana na serikalli?
Kama ndio, kwanini makampuni binafsi yakopeshwa kwa kudhaminiwa na serikali?
Kama CAG hakagui hesabu za mashirika binafsi, inakuwaje deni la makampuni binafsi kuingizwa kwenye deni la Taifa?
Je, huu ni utaratibu mpya au ulikuwepo tangu zamani?
Sasa inakuaje deni ni la serikaliHaeleweki kivipi ? Haujui ya kua kuna private sector wanakopeshwa na banks na tahasisi tofauti nje ya Nchi masharti ni kwamba serikali inawadhamini, madeni wanalipa hao waliokopeshwa
Kwahiyo vile alivyokuwa anasema nchi itapigwa mnada kutokana na madeni alikuwa anamaanisha madeni ya Sector binafsi [emoji23][emoji23][emoji23]Mbona mimi nimemuelewa!...Yaani mfano mzuri ni huu let say deni la nyumba x=Sh 15 mpangaji namba 1 sh 5,mpangaji namba 2 ni sh 10,kila mpangaji atalipa deni linalomuhusu mwenyewe bila ya kujumlisha deni la mwenzie yaani ndio kama hivyo Serikali italipa deni lake na sekta binafsi italipa deni lake kwahiyo jumla ndio deni la taifa(deni la nchi ya Tz )
Wasomi njaa pumbavu ndio maana mnaishia kuajiriwa mnalipwa milion 1 umasikini uumewajaa.Mkuu Kama shule ilikupiga kusho huwezi elewa chochote. Hii ni lecture ya mwaka wa pili wanaodoma B.A economics au finance.
National debt= public debt + private companies' debts.
Hivyo alichosema mwigulu ndoshule yenyewe.
Baada ya muda mrefu sasa umekuha na mswali ambayo ya jadilika kimantiki. Heko kwako.Hapa kuna maswali ya kujiuliza.
Hayo makampuni ni yapi?
Na je, yamewekewa dhamana na serikalli?
Kama ndio, kwanini makampuni binafsi yakopeshwa kwa kudhaminiwa na serikali?
Kama CAG hakagui hesabu za mashirika binafsi, inakuwaje deni la makampuni binafsi kuingizwa kwenye deni la Taifa?
Je, huu ni utaratibu mpya au ulikuwepo tangu zamani?
Sasa kama wanalipa wao kwann inaitwa deni la taifa, ivi wewe ukimdhamini mtu ameenda kukopa wewe ndo u adaiwa au yeye ndo anadaiwa?Haeleweki kivipi ? Haujui ya kua kuna private sector wanakopeshwa na banks na tahasisi tofauti nje ya Nchi masharti ni kwamba serikali inawadhamini, madeni wanalipa hao waliokopeshwa
Haeleki kabisaView attachment 2443196