Mbona hayati Magufuli alijenga vituo vya afya bila kukamua wananchi tozo za miamala? Alitoa wapi pesa?



Viko wapi? [emoji2369][emoji2369]

Watuambie vimengengwa watu ili mtu akitaka kuthibitisha uwepo iwe rahisi.

Hata kwa kuwasiliana na watu wa maeneo husika kujua.
 
Kwani wewe uliyeleta bandiko ndiyo umezaliwa jana kwamba alikokuwa anachukua pesa hukujui? Kila kitu kiko wazi aise.
 
Dah! Hatari sana ngoja tuvute subira.
 
Baada ya kumaliza kupora pesa za matajiri na wawekezaji alishaanza kukwama na alikuwa anaelekea kuanza kunyang'anya pesa kutoka kwa wanyonge wake!
 
Ali kamua matajiri ..ila uyu ana kamua maskini
 
Soma ukweli uliopo post #10, zingine ni porojo tu. Mama anaenda kufanya yote hayo bila kukakamaa msuli wala yapping abouts nyiiingi. Tutaelewana tu.
 
Hakuna Cha mwendazake Wala nini, WOTE ni MAUMIVU tu
 
Bajet ya serikali inakamishwa mwezi wa pili hiyo mnayemsifu Kafa mwezi wa tatu haya kayaleta yeye msijitoe akili wehu nyiie
 
Kikwete ndio tungejiuliza alitoa wap hela

Magu alinyonya wafanyabaishara sana (akikukuta na bil bank anataka mgawane otherwise anafunga ac)

Mama ananyonya maskini

Why wasimuulie mzee wa msoga akifanyaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…