Mbona hayati Magufuli alijenga vituo vya afya bila kukamua wananchi tozo za miamala? Alitoa wapi pesa?


Alipora kwenye akaunti za matajiri
Una uhakika dada?
 

china EXIM bank
 
Ukimaliz kuuliza hilo swali jiulizw JK aliwezaje kuongeza mishahara ya watumishi na kutoa ajira kila mwaka alafu magufuli huyo huyo mpaka anafariki alitoa ajira 6000 tu tena kwa sababu ya Lissu.

kwa sababu ya nani?
 
Tunaambiwa matajiri walidhurumiwa masikini tukaingia mkenge kuwatetea sasa masikini tunakamuliwa hakuna Tajiri anatutetea. Wanyonge muache viherehere
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alisema matajiri wataishi kama maahetani sasa safari hii imegeuka masikini wanaishi kama mashetani
 
Reactions: nao
Mfyuuu
 
Kikomo cha kukopa?

Ile tililioni 2 ambayo mama kakopa juzi ulimkopesha wewe
Wewe hujui kwamba kuna kiwango fulani cha kukopa kila baada ya muda fulani na utaendelea kukopa baada ya muda huo kupita?!
 
Kikwete ndio tungejiuliza alitoa wap hela

Magu alinyonya wafanyabaishara sana (akikukuta na bil bank anataka mgawane otherwise anafunga ac)

Mama ananyonya maskini

Why wasimuulie mzee wa msoga akifanyaje
Kikwete aliachiwa nchi na hayati Mkapa ikiwa imepata misamaha ya kodi ila alishindwa kutuvusha akabaki kushangaa kwanini nchi masikini bado.

Ingekuwa JPM tungekuwa mbali sana kutokana deni la Taifa na misamaha ya kodi, kipindi cha JK ulafi ulitamalaki.
 

Tatizo mlikuwa mnacheka machinga lutokulipa kodi sasa mnajua mtu asikiomba risiti au machinga kuuza vitu kiholela ile kodi ambayo wangelipa ndiyo unalipa wewe. Lipa kodi au hakikisha wengine wanalipa hakuna kitu cha bure
 
Kikwete ndio tungejiuliza alitoa wap hela

Magu alinyonya wafanyabaishara sana (akikukuta na bil bank anataka mgawane otherwise anafunga ac)

Mama ananyonya maskini

Why wasimuulie mzee wa msoga akifanyaje
Aliachiwa nchi ikiwa imepewa misamaha ya mikopo lakini alishindwa kutuvusha, eti kuongeza misamaha, uliza pia misamaha ya mikopo aliyoachiwa na Mzee Mkapa alifanya nini?
 
Kwani alikuta pesa kiasi gani hazina ukilinganisha na kiasi alicho kikuta mama?

Tuanzie hapo kwanza.
 
Ni zile alizokuwa ananyang'anya wafanyabiashara unadhani zilikuwa zinafanya kazi gani na zile za kutoongeza mshahara miaka 5 wafanyakazi na zile za kukwapua mifuko ya hifadhi ya jamii hadi kutolipa wastaafu.
 
Alijenga vingapi ? Yaani vituo 450 miaka 6 si upumbavu huu? Unadhani mama hawezi fanya hayo? Anaweza Sana ila huo ni utoto kwa sababu kuna kata 3956 na vituo ni 756 tuu sasa hao wengine itafikiwa vipi?

Hapo lengo la mama ni kwamba ndani ya miaka 4 ijayo wafikishe angalau vituo 800
 
Huo u champions sijui ni upi maana ndani ya miaka 6 kilichokamilika ni flyover ya Tazara na ubungo,,kama Kuna kingine wekeni hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…