Mbona hayati Magufuli alijenga vituo vya afya bila kukamua wananchi tozo za miamala? Alitoa wapi pesa?

Vituo vya afya 460+ wapi na wapi?
Ujinga mtupu kwa miaka 6 afu humo ndani viko alivyokarabati yaani alikuta vinafanya Kazi na vile vipya aliviacha havijaanza Kazi mama kaajiri ,kaleta vitendea Kazi na vimeanza kutoa huduma.
Watu hawajamuelewa mama anataka kuwapunguzia mzigo wamama wa Vijijini kukifungulia kwenye mikokoteni ndio maana unaona nguvu kubwa kaweka kwenye afya na barabara za Vijijini.
 
Na bado mpaka tuwe Kama libya baada y kufa gaddaf picha ilyopo huhtaj kusmuliwa ndo kfuatacho
 
Nakukumbusha tu kuwa mama naye jana wametoka kutangaza kuwa anakopa kitita cha Trillion 2.7.
Serikali haiwezi kuacha kukopa ila ndio maana wanajitahidi kutumia tozo kugharamia baadhi ya miradi bila kukopa ,ukitegemea kukopa tuu hufiki .

Umeambiwa mwakani kuna watoto zaidi ya 900k wanatakiwa kuanza shule unadhani pesa zinatoka wapi ?
 
Inamaana Tanzania watoto wameanza kwenda form 1 mwaka huu tuu?
 
Inamaana Tanzania watoto wameanza kwenda form 1 mwaka huu tuu?
Maswali ya kipumbavu usiniulize,elimu bila ada ndio imeanza kutema hivyo ,,kwani miaka yote hiyo idadi ilikuwepo?
Endeleeni kuzaana hovyo utaona moto wake huko baadae
 
Maswali ya kipumbavu usiniulize,elimu bila ada ndio imeanza kutema hivyo ,,kwani miaka yote hiyo idadi ilikuwepo?
Endeleeni kuzaana hovyo utaona moto wake huko baadae
Acha ujinga wako na mama yenu mnarembua rembua amefuta Kodi rasmi nyingi ili mje muwazulumu wananchi
 
Acha ujinga wako na mama yenu mnarembua rembua amefuta Kodi rasmi nyingi ili mje muwazulumu wananchi
Wewe ndio fala,kodi gani rasmi kafuta? Ndio lipa sasa tozo acha kulia Lia kama ke,hapo utajua anaerembua ni yeye au wewe
 
Fedha za watu benki ziliporwa,wenyewe wakabambikizwa uhujumu uchumi,DPP akawaingiza mkenge.Pesa nje nje.Wajasiliamali wanyonge unakumbuka kilichowakuta?. NA BADO!
 
Hizi kodi zote ni matokeo ya yeye kukopa kwa fujo ili kusaka political millage. Matokeo yake saa tumejikuta kwenye madeni makubwa yenye marejesho ya muda mfupi.
 
Tunaambiwa matajiri walidhurumiwa masikini tukaingia mkenge kuwatetea sasa masikini tunakamuliwa hakuna Tajiri anatutetea. Wanyonge muache viherehere

Lilikuwa jizi na roho chafu kinoma.
 
Nyie mambumbumbu ndio hamuekewi kuwa kuna wafanyabiashara waliporwa, kuibiwa na hata kudhulumiwa.
Mkiambiwa haya yote yaliganywa na Magufuli mnakuwa wabishi kuamini.
 
Tena ni bule kabisa Yaani..

Sent from my EVA-L19 using JamiiForums mobile app
 
Hizi kodi zote ni matokeo ya yeye kukopa kwa fujo ili kusaka political millage. Matokeo yake saa tumejikuta kwenye madeni makubwa yenye marejesho ya muda mfupi.
Huwa nakufuatilia humu jamvini. Leo umepost uharo. Kwani alipokuwepo deni la taifa lilikuwa halilipwi? Kukopa ni tatizo kama mnakusanya na kulipa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…