Mbona kama tatizo la wateja katika benki kupata noti pungufu wanapotoa hela linaota mizizi?

Mbona kama tatizo la wateja katika benki kupata noti pungufu wanapotoa hela linaota mizizi?

Hata kwenye kufanya deposit, unaweza toka umehesabu pesa zako zote zimekamilika safi, ukifika pale wanakutia wenge kwanza, andika elfu 10, zipo ngapi 5 ngapi 2 ngapi na 1 ngapi. Huku wanapima wenge lako. Ukimaliza ukampa ahesabu atakwambia labda kwenye million, elfu tano haipo. Hapo inabidi uongeze
 
Mimi nahesabu hela hata kama nazitoa kwenye ATM, hapo nimetoa laki 2 narudia mara tatu tatu 😃😃, huo ni uzembe wake huyo jamaa
Yaani ukae uhesabu millioni 10?

Vibunda 10 kila kimoja noti mia mia nikae nizihesabu?

Huwa sifanyi hivyo! Na huwa kwanza sikai kwenye mstari. Namshikisha mtu wa ndani teller mmoja inaniletea kibunda changu. Namfanyia wema na mimi namwachia wekundu kadhaa naondoka.

Aishi hivyo! Akifanya hivyo kibunda hakipungui labda akipunguze mwenyewe.
 
Count your money before you leave the desk
Mkuu, kuna bank ukianza kutoa kuanzia million hata 2 unapatiwa kibunda tayari kimeshapigwa rababendi. Hakihesabiwi kwenye mashine. Utahakiki wewe mwenyewe. Nafuu millioni 2.

Ukitoa kuanzia millioni 10 mpaka 20 mpaka 30 utaitwa ndani utapewa kibunda chako kimeshapigwa utepe wa BOT n.k

Au labda mimi sielewi. Unaweza ukaomba wakuletee mashine uzihakiki pale pale au inakuwaje?
 
Isha wahi jitokeza kwenye bank ya CRDB nilkua natoa 3ml ..nka ona kwenye machine ya kuhesabu mzigo ume pelea kabsa ..afu teller aka nipa ivyo ivyo akizani sija hesabu wakati ana ziweka kwenye counting machine ..nka mwambia rudia kuhesabu .

After kuhesabu aka jifanya eti kwa sababu noti zilkua za elfu tano 5 ndo maana machine ili changanya ila akilini nka sema tu hapa uyu mbwa kani kosa
 
Mkuu, kuna bank ukianza kutoa kuanzia million hata 2 unapatiwa kibunda tayari kimeshapigwa rababendi. Hakihesabiwi kwenye mashine. Utahakiki wewe mwenyewe. Nafuu millioni 2.

Ukitoa kuanzia millioni 10 mpaka 20 mpaka 30 utaitwa ndani utapewa kibunda chako kimeshapigwa utepe wa BOT n.k

Au labda mimi sielewi. Unaweza ukaomba wakuletee mashine uzihakiki pale pale au inakuwaje?
Ni haki yako, ila zile unazochukulia ndani %kubwa unakuta zipo sahihi
 
Back
Top Bottom