Mbona kama tatizo la wateja katika benki kupata noti pungufu wanapotoa hela linaota mizizi?

Ungetaja kwa faida ya wengi
 
Sasa kama hutaji bank husika unadhani mabosi watawachukulia hatua watumishi Gani?? We mwenyewe hutaki kuweka wazi bank Gani na ndo mnafuga wizi
 
Hu
150m/hela hazitolewi kaunta. Kuna bulk cash room ukitaka mnahesabia huko.
Huko kashroom utahesabu kwa mkono m.150 baada ya kupewa hicho kibunda cha elfu tano tano au kumi kumi kilicho hesabiwa na mashine ?
Mimi pia nilisha ibiwa na mateller kwenye benki ambayo sitaki kuitaja kwa kuchelea kesi za JF za kumsumbua Melo.
 
Kuna teller mmoja yeye alikua anakupiga wakati wa kuweka ukipeleka hela nyingi kuweka kwenye account yako wakati anahakiki anadondosha noti moja chin alaf anakwambia kuna upungufu, kilichomponza ile tabia alifanya ni mradi endelevu akajikuta anawafanyia mchezo wateja walewale kwa kujirudia bila kuwakumbuka sura aliwekewa mtego akafukuzwa.
 
Hu

Huko kashroom utahesabu kwa mkono m.150 baada ya kupewa hicho kibunda cha elfu tano tano au kumi kumi kilicho hesabiwa na mashine ?
Mimi pia nilisha ibiwa na mateller kwenye benki ambayo sitaki kuitaja kwa kuchelea kesi za JF za kumsumbua Melo.
Wana mashine. Wanakuhesabia ukishuhudia. Wengi wanaibiwa kwasababu wanapewa bundles zilizohesabiwa bila wao kushuhudia. Anyway kwasababu mna haraka sana msihesabu mtapoteza muda,endeleeni kuokoa muda huku mkopoteza hela zenu.
 
Count your money before you leave the desk
Nenda mlimani city siku za sikukuu na jumapili ujionee Ile nyomi, halafu utajiuliza kama unaweza hata kuhesabu milioni mbele ya counter.
Bank tellers wanacheza na matukio foleni ikiwa kubwa chances za kupewa noti pungufu zinazidi. Halafu wanapenda sana nyie mnaotoa hela nyingi.
 
Hu

Huko kashroom utahesabu kwa mkono m.150 baada ya kupewa hicho kibunda cha elfu tano tano au kumi kumi kilicho hesabiwa na mashine ?
Mimi pia nilisha ibiwa na mateller kwenye benki ambayo sitaki kuitaja kwa kuchelea kesi za JF za kumsumbua Melo.
Halafu nikuulize. Mbona mteja akipeleka hata 200m wanahesabu pale pale counter na watu wanasubiri kwenye foleni? Hakuna hata siku moja watasema huyu mteja wetu mwaminifu tuweke tu bila kuhesabu kwasababu yeye kashahesabu. Why?
 
Kuwa makini na fedha yako, usisubiri pia sikukuu ukajazane kwenye foleni. Tambua bajeti ya kukuvusha hizo jumapili na sikukuu weka kibunda ndani, kwa dharura kuna huduma za simu muombe wakala akuwekee lipa baadae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…