Mbona majanga kila Mahali? Arusha nayo yakumbwa na mafuriko, magari yasombwa

kamanda kama vile hakua na taarifa yoyote kwamba kutakua na hali ya hewa ya namna gani Arusha kwa siku kadhaa zijazo 🐒

yaani kujipa umuhimu kipekee sana, hakuna maana yoyote. taarifa na tahadhari zilikua bayana kabisa, sasa watu wa aina hii ya nabii mnyang'anyi wanao tamani kuchukua nafasi ya Mungu, ndio hivyo tena wameanza kutengeneza mazingira ya kunyoosheana vidole kwenye natural disasters🐒

hata hivyo,
Pole sana watu wa Arusha, hali ya hewa bado si tulivu sana, ni vizuri kuchukua kila tahadhari ili kunusuru uharibifu zaidi kuliko kuzubaa au kubabaika na wanaharakti na wanaohusisha siasa kwenye maisha na mali zenu 🐒
 

2 Timothy 3:1​

 

Mbona mambo ya kawaida mvua zikiwa kubwa matokeo ni haya, maana hata nchi matajiri duniani USA, Saudi Arabia na Australia hizi nchi kubwa na miuondombinu bora lakini juzi tu mafuriko makubwa ni hali halisi ya mazingira. Kujipanda tu watu wawe salama mengine yatapita tu.
 
Acha gubu wewe mpiga picha eti hakuna msaada wowote ulitaka waje watu kunywa hayo maji? au msaada gani unaotaka? Wewe unaona mvua kubwa maji yanakuja huwezi kutumia akili kupark gari yako sehemu salama zaidi.
 
Watu wa arusha walikuwa bize kuwapokea wanasiasa,tahadhari zingine walizisahau
Any way poleni wana arusha

Ova
 
Bwawa la Nyerere hilo. Jinga wakubwa nyie Wadudu
 
El nino inaendelea kufanya mambo yake !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…