Nyie ndio mnaletaga ushabiki hapa mnakumbushwa sasa ni bwawa la mbege lilijengwa uko halikufanyiwa EIA?Huyo asikupotezee muda,weka kwenye ignore list,ana wehu fulani utadhani mbwa jike liko kwa heat periods ,hawezi kutazama mambo kwa angle pana zaidi,yeye ni ushabiki wa kijinga tu.
Kwenye hili mkuu nakuunga mkono 100%Walevi wa huko Kaskazini si ndiyo wenye kupayuka sana kuhusu mafuriko ya Rufiji?
Wayazuwie sasa kwa kuongea pombe.
Hata kama hajaleta yeye lakini lazima afurahie moyoni maana ashapata mahali pa kuanzia.Kwa hiyo kayaleta yeye?ππππ
Watu tujifunze kuheshimu wengine na kuwaonea huruma,
chawa muadilifuMkuu gundu wanayo ndugu zako walioshindwa kukulea kwa maadili
Kingine TMA wakiwaambiaga mnaishia kuwapondani katika ubinadamu saa zingine tunazidiwa na tusiyoyatarajia
ukimkabidhi goli mtu anayetakiwa jela matokeo yake nchi inamkataaπ€£π€£π€£π€£π€£π
wengi wao eti wanapinga utabiri wa TMA kinabii na wanaaminia hivyoKingine TMA wakiwaambiaga mnaishia kuwaponda
Ova
Kuna mlevi kasema Nyumba ya Mungu.πKuna mdau kauliza "kuna bwawa gani limefunguliwa huko" linaloleta mafuriko?
Watu wa arusha walikuwa bize kuwapokea wanasiasa,tahadhari zingine walizisahau
Any way poleni wana arusha
Ova
Mbeya huko yamezolewa hadi makaburi.Halafu kuna watu wajinga wanaulizana kwanini Rufiji kuna mafuriko.
Nimesikia bwawa lilikuwa limejaa mbege na mirungi
Hizi mvua Mungu anataka kuwaondoa sisiemu tu kwa namna ambayo sisi hatuijuiIt is a sign that we have to change...kuna mahala mambo hayako sawa
Bwawa lililojengwa uko Meru limefunguliwaMsitukane wakunga na uzazi ungalipo - Bi Kidude.
Poleni sana wanachuga aka wadudu Mungu atawasimamiaHii ndio Taarifa mpya ya Usiku huu, kwamba Jiji la Arusha limekumbwa na mafuriko makubwa sana, huko Kisongo hali ni mbaya zaidi, unaambiwa magari na nguzo za umeme zinasombwa kirahisi tu.
Sasa sijui tuendelee kuiombea Nchi hii au tumwachie tu Mungu?
Mafuriko Arusha hadi maji yanakatiza mjini na kusomba magari! Hii kwangu ni mpya kidogo.
Kiukweli namuomba Mungu aamue mwenyewe atavyo, na kama hili linatokana na mkono wa Mungu basi atukuzwe lakini kama ni Mkono wa mtu basi alaaniwe.
======
Mvua kubwa inanyesha Arusha usiku huu wa Alhamisi Aprili 11, 2024 mpaka muda huu wa saa nane bado mvua ni kubwa. Magari, pikipiki pamoja na mifugo vinasombwa na maji hasa eneo la Kisongo.
Lipo bwawa la kufua mbege na bangi kule meru limefunguliwa lisije likavunjs kingo zake hivyo ndio limesababishq mafurikoππππππππNilitaka kuuliza kama kuna bwana kubwa la kufua umeme limejengwa
Arusha hakuna wachaga tu. Kuna wamasai, wameru, wairaq ni wengi pia. Nimekaa sana Arusha hakupo kama unavyosema.Kwenye hili mkuu nakuunga mkono 100%
Arusha ina watu wa hovyo sana, watukanaji ni wao, siasa za visasi ni wao, gongo ni wao, madawa ya kulevya ni wao, matambiko ni wao, ushoga umeshamiri kule, na mpaka sasa bado hata hawaamini kwamba mwenye kufanya hivyo ni Mungu ili pengine atoe funzo
Wao wamekazania kumsimanga Makonda utadhani hata wakati wa Hanang alikuweko huko, Rufiji nako sijui alienda lini huko
Hovyo sana hao wachaga