Mbona majanga kila Mahali? Arusha nayo yakumbwa na mafuriko, magari yasombwa

Kwa Arusha Jiji mafuriko ni kitu kirahisi sana kutokea sababu ipo bondeni. Mvua ikunyesha vizuri Meru na Monduli lazima uyaone.

Pale ofisi ya Mkuu wa mkoa tu mvua ikinyesha vizuri mlimani kipande chote cha sanawari hadi pale ofisi za Mkuu wa mkoa hapapitiki.

Magari kubebwa na maji ni rahisi sana sababu ya upepo kwenye tairi. Hapo kama mtu alishindwa kusogeza gari basi alitakiwa kutoa upepo kwenye tairi.

Tutafute maeneo salama ya kuegesha magari hasa unapoegesha kwa muda mrefu mf. Usiku kucha au mchana kutwa.

Hizi mvua ni kuwa makini tu, hakuna hisani.
 
Sio kuwa kuna bwawa lililojengwa na Magufuli limefunguliwa maana halikufanyiwa EIA?
 
Poleni watalii!
 
Fanya utafiti kabla hujakurupusha hilo liubongo lako lililojaa ma**
Arusha ni wachaga tu wapo umo?
 
Kwamba Arusha nzima imepata mafuriko mpk ujudge hivyo?
 
Karne ya 21, kuna watu bado wanahusisha majanga ya asili na Imani....eti laana🤔🤔🚮
 
Wakuu, nipo na data nzuri kutoka kwenye kampuni inayojielewa. Tuji embrace kwa mvua kubwa sana (el nino the kid) mwezi huu hasi siku hizi hapa za karibuni.

Msije kusema hamkuambiwa. Huku sisi tushaanda rescue plans na mambo mengine. Ni hatari. Mvua zitanyesha za kutisha ambazo vizazi vya dijitali havijawahi kuona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…