Mbona orodha ya matajiri Tanzania, Kenya, Uganda wengi ni Waarabu na Wahindi na si waafrika weusi?

Ngozi nyeusi ina matatizo ya ubinafsi.

Hatuwazi mbali. Kila mmoja ni mbinafsi anajiwazia yeye tu na familia yake. Wapo waliofika mbali hata familia yake tu anaifanyia ubinafsi.

Unakuta mzee ana mali, lakini watoto wanahimizwa kila mtu kutafuta maisha yake.

Umasikini unadumaza akili zetu. Trust me, ukiwa masikini hata uwezo wa kufikiri unashuka..

SULUHISHO: Apatikane Rais mwingine kama Magufuli. Siasa uchwala na demokrasia za magharibi sio suluhisho kwa nchi iliyojaa wabinafsi na masikini wengi.
 
Sasa unataka kuwa mlowezi halafu maskini utakuwa na maana kweli? Ni sawa na wewe uende ugenini na bado unataka uwe omba omba hadi nauli wakupe! Utakuwa mgeni kweli au mzigo?
 
Pia wanarithishana na kusaidiana....wanajiajiri.....hawapotezi muda shule kusoma vya kuajiriwa
 
Mbona wakati wa mfungo bia na kiti moto vinadoda? Na malaya wengi wanafunga.
 
Indians ni wakwepa kodi wakubwa Canada

Hakuna Muhindi anataka fanya kazi kwa muhindi mwenzake, wanadhulumiwa hatari

Wanatafuta watu wasio na vibali wanawafanyisha kazi kwa "cash" ambapo hata akikudhulumu huna pakushtaki
Wameiharibu sana canada imekuwa kama mumbai
 
Wakati hao wenzetu wanasaka pesa nyie mlikuwa mnakata viuno kuimba nyimbo za kusifu na kuabudu mlisema zidumu fikra sahihi za Mwenyekiti 😁😁
 
Hao hawashindi baa na kusahau majukumu yao na ni wachapakazi haswa. Saa 24 wanapatika kurebisha changamoto zinazotokea kwenye shughuli zao.
Wanajua cashflow na ni calculated risk takers.
Mtz akiongea ka kingereza kdg anaona ameongea vtu hatar hatar vyakisomi


Hta ungeandika kisukuma mama n mama tu iwe kwa kichina au kihehe. So ishu za cashflow sjui risk taker si useme tu kw kiswahil kwan maana itabadirika[emoji1787][emoji23][emoji28][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
Hili ndio jibu sahihi na itaendelea hivyo mpaka watu weusi watakapo amka
We
kwa sababu sisi tuko huku tunawajadili wao hali ya kuwa wao wanazitafuta muda huu
 
Waafrika mashariki tunafeli wapi

Ni utamaduni wa kutorithisha mali kuanzia kwa babu kwenda kwa baba hadi itufikie sisi vijana haupo.

Na sisi vijana hatutaki kubadili utamaduni huo.

Nigeria tajiri mkubwa Dangote amezaliwa ktk familia ya kibiashara na wamempatia dondoo ya mafanikio ya biashara tangu akiwa mtoto katika familia

Tusiwalaumu wenzetu wa jamii ya asili za kiarabu na kihindi wala tusisubiri kuwa serikali itakufundisha utajiri hupatikana vipi, bali tuelewe kuwa siri huanzia ndani ya familia. Bila kufundishwa hivyo ktk ngazi ya familia na ukoo hata leo ukishinda bahati nasibu ya mabilioni utaitapanya ndugu yangu mmatumbi.
 
WWe
We mburura kweli kweli! Mpinzani atatoaje solution wakati haongozi?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…