Tupo tokea dunia ianze ila wahindi walikuja kimkakati wakitumia ukoloni kama daraja kuanzisha biasharaWahindi walikuja 1890. Sisi tupo tangu lini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupo tokea dunia ianze ila wahindi walikuja kimkakati wakitumia ukoloni kama daraja kuanzisha biasharaWahindi walikuja 1890. Sisi tupo tangu lini?
Sasa unataka kuwa mlowezi halafu maskini utakuwa na maana kweli? Ni sawa na wewe uende ugenini na bado unataka uwe omba omba hadi nauli wakupe! Utakuwa mgeni kweli au mzigo?Ukiangia orodha ya watu matajiri Nchini Kenya na Tanzania utakuta Wahindi na Waarabu ndio wanaongoza kwa mali na utajiri
Cheki orodha ya watu matajiri nchini Kenya hapo chini.
Tizama pia list ya matajiri kutoka Tanzania.
Na hapo kwenye list ya Tanzania ni kwa bahati mbaya tu Reginald Mengi naye alifariki hivyo orodha kubaki na Wahindi na waarabu watupu.
Uganda nayo list ndio kama ifuatavyo
Ukitizama hizo Top Five yote orodha utaikuta wengi ni Wahindi na Waarabu, na waafrika weusi ni mmoja mmoja.
SWALI: Hivi waafrika weusi wa Kenya, Uganda, Tanzania tunafeli wapi.... Wanakuja waarabu na wahindi wanawekeza kwetu wakishapata pesa za kutosha wananunua uraia hili wasiporwe mali zao. Wazawa kwenye orodha ya Utajiri tumebaki kutoleana macho tukisifia Wahindi na Waarabu kwa kuwekeza kwetu, hawamu inayofuata watakuwa wachina.
Wazungu hawawezi kuwekeza kwa sababu ya hile hali ya kuwatafsiri kama mabeberu au wakoloni, hivyo mara nyingi ulazimika kuoa mke au kupata business partner wa kitanzania hili biashara ziende. Hila hawa Waarabu na Wahindi kwa sababu hawatafsiriwi kama mabeberu na wakoloni wamekuwa wakiteka maeneo, na kuanzisha mambo kadha wa kadha bila vizuizi na wakifanikisha basi wachache kwenye familia inabidi wabadili uraia kuwa watanzania hili mali ziendelee kubaki mikononi mwao, ikumbukwe kwa sheria za Tanzania haziruhusu raia mgeni kumilki ardhi, labda aoe mke wa kitanzania ambaye ndio atatumika kumiliki ardhi au abadilishe uraia, wazungu wamekuwa wakitumia hii ya kuoa, huku waarabu na wahindi wamekuwa wakitumia hii ya mmoja kwenye familia yao kubadili uraia hili kupata kibali cha umiliki wa mali na ardhi.
Wanaijeria kidogo wao ndio wanatamba kwenye ardhi yao, ni ngumu sana kumkuta muarabu au muhindi kwenye list ya matajiri huko Nigeria, South Africa wao wazungu na Wahindi ndio wanakimbiza kwa utajiri huko kwao.
Waafrika mashariki tunafeli wapi mpaka wahindi na waarabu wanatamba kwenye ardhi yetu kwa rasilimali zetu? Nini kifanyike kuweza kuongeza orodha ya matajiri wenye asili ya kitanzania kwenye orodha yetu kama Reginald Mengi?
Nimekuelewa sana mkuu.Africa has a lot of Billionaires and millionaires who don't appear on Forbes list, Because they cannot show where their money came from and what exactly is their source of wealthy.
Pia wanarithishana na kusaidiana....wanajiajiri.....hawapotezi muda shule kusoma vya kuajiriwaUkiangia orodha ya watu matajiri Nchini Kenya na Tanzania utakuta Wahindi na Waarabu ndio wanaongoza kwa mali na utajiri
Cheki orodha ya watu matajiri nchini Kenya hapo chini.
Tizama pia list ya matajiri kutoka Tanzania.
Na hapo kwenye list ya Tanzania ni kwa bahati mbaya tu Reginald Mengi naye alifariki hivyo orodha kubaki na Wahindi na waarabu watupu.
Uganda nayo list ndio kama ifuatavyo
Ukitizama hizo Top Five yote orodha utaikuta wengi ni Wahindi na Waarabu, na waafrika weusi ni mmoja mmoja.
SWALI: Hivi waafrika weusi wa Kenya, Uganda, Tanzania tunafeli wapi.... Wanakuja waarabu na wahindi wanawekeza kwetu wakishapata pesa za kutosha wananunua uraia hili wasiporwe mali zao. Wazawa kwenye orodha ya Utajiri tumebaki kutoleana macho tukisifia Wahindi na Waarabu kwa kuwekeza kwetu, hawamu inayofuata watakuwa wachina.
Wazungu hawawezi kuwekeza kwa sababu ya hile hali ya kuwatafsiri kama mabeberu au wakoloni, hivyo mara nyingi ulazimika kuoa mke au kupata business partner wa kitanzania hili biashara ziende. Hila hawa Waarabu na Wahindi kwa sababu hawatafsiriwi kama mabeberu na wakoloni wamekuwa wakiteka maeneo, na kuanzisha mambo kadha wa kadha bila vizuizi na wakifanikisha basi wachache kwenye familia inabidi wabadili uraia kuwa watanzania hili mali ziendelee kubaki mikononi mwao, ikumbukwe kwa sheria za Tanzania haziruhusu raia mgeni kumilki ardhi, labda aoe mke wa kitanzania ambaye ndio atatumika kumiliki ardhi au abadilishe uraia, wazungu wamekuwa wakitumia hii ya kuoa, huku waarabu na wahindi wamekuwa wakitumia hii ya mmoja kwenye familia yao kubadili uraia hili kupata kibali cha umiliki wa mali na ardhi.
Wanaijeria kidogo wao ndio wanatamba kwenye ardhi yao, ni ngumu sana kumkuta muarabu au muhindi kwenye list ya matajiri huko Nigeria, South Africa wao wazungu na Wahindi ndio wanakimbiza kwa utajiri huko kwao.
Waafrika mashariki tunafeli wapi mpaka wahindi na waarabu wanatamba kwenye ardhi yetu kwa rasilimali zetu? Nini kifanyike kuweza kuongeza orodha ya matajiri wenye asili ya kitanzania kwenye orodha yetu kama Reginald Mengi?
Cc Robert Heriel MtibeliWaafrika 24/7 wanawaza ngono tu huo mda wa kutafuta hela watautoa wapi
Mbona wakati wa mfungo bia na kiti moto vinadoda? Na malaya wengi wanafunga.'na kwann matajiri wengi ni wanaoitwa wavaa kobazi? Wagalatia wao wanafeli wapi?wakati kutwa wanaponda wavaa kobazi kuwa eti hawana elimu,
Wagalatia wengi mtaani ndio wapangaji kwenye nyumba za wavaa kobaz,
Walevi wengi ni wagalatia, aisee dini zenu hizii!!
Cc Accumen Mo darcity Naughty by natureSii Watanzani wote angalia Wachaga wengi ni matajiri hadi wanamiliki Precision Air. AKIBA Commercial Bank
FAMILY SOAP industries Mabasi ABC BM DAR AND KILIMANJARO Express ni biashara nyingi kubwa nchi yote! Sema tz kuna makabila waswahili kazi ni kuchaza tu ngoma kama wazaramo ndo hawa wanaturudisha nyuma
Wameiharibu sana canada imekuwa kama mumbaiIndians ni wakwepa kodi wakubwa Canada
Hakuna Muhindi anataka fanya kazi kwa muhindi mwenzake, wanadhulumiwa hatari
Wanatafuta watu wasio na vibali wanawafanyisha kazi kwa "cash" ambapo hata akikudhulumu huna pakushtaki
Wakati hao wenzetu wanasaka pesa nyie mlikuwa mnakata viuno kuimba nyimbo za kusifu na kuabudu mlisema zidumu fikra sahihi za Mwenyekiti 😁😁Ukiangia orodha ya watu matajiri Nchini Kenya na Tanzania utakuta Wahindi na Waarabu ndio wanaongoza kwa mali na utajiri
Cheki orodha ya watu matajiri nchini Kenya hapo chini.
Tizama pia list ya matajiri kutoka Tanzania.
Na hapo kwenye list ya Tanzania ni kwa bahati mbaya tu Reginald Mengi naye alifariki hivyo orodha kubaki na Wahindi na waarabu watupu.
Uganda nayo list ndio kama ifuatavyo
Ukitizama hizo Top Five yote orodha utaikuta wengi ni Wahindi na Waarabu, na waafrika weusi ni mmoja mmoja.
SWALI: Hivi waafrika weusi wa Kenya, Uganda, Tanzania tunafeli wapi.... Wanakuja waarabu na wahindi wanawekeza kwetu wakishapata pesa za kutosha wananunua uraia hili wasiporwe mali zao. Wazawa kwenye orodha ya Utajiri tumebaki kutoleana macho tukisifia Wahindi na Waarabu kwa kuwekeza kwetu, hawamu inayofuata watakuwa wachina.
Wazungu hawawezi kuwekeza kwa sababu ya hile hali ya kuwatafsiri kama mabeberu au wakoloni, hivyo mara nyingi ulazimika kuoa mke au kupata business partner wa kitanzania hili biashara ziende. Hila hawa Waarabu na Wahindi kwa sababu hawatafsiriwi kama mabeberu na wakoloni wamekuwa wakiteka maeneo, na kuanzisha mambo kadha wa kadha bila vizuizi na wakifanikisha basi wachache kwenye familia inabidi wabadili uraia kuwa watanzania hili mali ziendelee kubaki mikononi mwao, ikumbukwe kwa sheria za Tanzania haziruhusu raia mgeni kumilki ardhi, labda aoe mke wa kitanzania ambaye ndio atatumika kumiliki ardhi au abadilishe uraia, wazungu wamekuwa wakitumia hii ya kuoa, huku waarabu na wahindi wamekuwa wakitumia hii ya mmoja kwenye familia yao kubadili uraia hili kupata kibali cha umiliki wa mali na ardhi.
Wanaijeria kidogo wao ndio wanatamba kwenye ardhi yao, ni ngumu sana kumkuta muarabu au muhindi kwenye list ya matajiri huko Nigeria, South Africa wao wazungu na Wahindi ndio wanakimbiza kwa utajiri huko kwao.
Waafrika mashariki tunafeli wapi mpaka wahindi na waarabu wanatamba kwenye ardhi yetu kwa rasilimali zetu? Nini kifanyike kuweza kuongeza orodha ya matajiri wenye asili ya kitanzania kwenye orodha yetu kama Reginald Mengi?
Mtz akiongea ka kingereza kdg anaona ameongea vtu hatar hatar vyakisomiHao hawashindi baa na kusahau majukumu yao na ni wachapakazi haswa. Saa 24 wanapatika kurebisha changamoto zinazotokea kwenye shughuli zao.
Wanajua cashflow na ni calculated risk takers.
SahihiHao hawashindi baa na kusahau majukumu yao na ni wachapakazi haswa. Saa 24 wanapatika kurebisha changamoto zinazotokea kwenye shughuli zao.
Wanajua cashflow na ni calculated risk takers.
WeHili ndio jibu sahihi na itaendelea hivyo mpaka watu weusi watakapo amka
kwa sababu sisi tuko huku tunawajadili wao hali ya kuwa wao wanazitafuta muda huuUkiangia orodha ya watu matajiri Nchini Kenya na Tanzania utakuta Wahindi na Waarabu ndio wanaongoza kwa mali na utajiri
Cheki orodha ya watu matajiri nchini Kenya hapo chini.
Tizama pia list ya matajiri kutoka Tanzania.
Na hapo kwenye list ya Tanzania ni kwa bahati mbaya tu Reginald Mengi naye alifariki hivyo orodha kubaki na Wahindi na waarabu watupu.
Uganda nayo list ndio kama ifuatavyo
Ukitizama hizo Top Five yote orodha utaikuta wengi ni Wahindi na Waarabu, na waafrika weusi ni mmoja mmoja.
SWALI: Hivi waafrika weusi wa Kenya, Uganda, Tanzania tunafeli wapi.... Wanakuja waarabu na wahindi wanawekeza kwetu wakishapata pesa za kutosha wananunua uraia hili wasiporwe mali zao. Wazawa kwenye orodha ya Utajiri tumebaki kutoleana macho tukisifia Wahindi na Waarabu kwa kuwekeza kwetu, hawamu inayofuata watakuwa wachina.
Wazungu hawawezi kuwekeza kwa sababu ya hile hali ya kuwatafsiri kama mabeberu au wakoloni, hivyo mara nyingi ulazimika kuoa mke au kupata business partner wa kitanzania hili biashara ziende. Hila hawa Waarabu na Wahindi kwa sababu hawatafsiriwi kama mabeberu na wakoloni wamekuwa wakiteka maeneo, na kuanzisha mambo kadha wa kadha bila vizuizi na wakifanikisha basi wachache kwenye familia inabidi wabadili uraia kuwa watanzania hili mali ziendelee kubaki mikononi mwao, ikumbukwe kwa sheria za Tanzania haziruhusu raia mgeni kumilki ardhi, labda aoe mke wa kitanzania ambaye ndio atatumika kumiliki ardhi au abadilishe uraia, wazungu wamekuwa wakitumia hii ya kuoa, huku waarabu na wahindi wamekuwa wakitumia hii ya mmoja kwenye familia yao kubadili uraia hili kupata kibali cha umiliki wa mali na ardhi.
Wanaijeria kidogo wao ndio wanatamba kwenye ardhi yao, ni ngumu sana kumkuta muarabu au muhindi kwenye list ya matajiri huko Nigeria, South Africa wao wazungu na Wahindi ndio wanakimbiza kwa utajiri huko kwao.
Waafrika mashariki tunafeli wapi mpaka wahindi na waarabu wanatamba kwenye ardhi yetu kwa rasilimali zetu? Nini kifanyike kuweza kuongeza orodha ya matajiri wenye asili ya kitanzania kwenye orodha yetu kama Reginald Mengi?
Waafrika mashariki tunafeli wapi
We mburura kweli kweli! Mpinzani atatoaje solution wakati haongozi?!Mzee wa Kino sababu yako ina mashiko ila siikubali 100%. Mwaka 1967 tuliwanyang'anya matajiri hasa wahindi mali zao na kuzitaifisha lakini miaka zaidi ya 50 baadae bado wapo wanaongoza uchumi wetu... miaka ya Sokoine pia watu walifilisiwa lakini hakuna matokeo yoyote yaliyopatikana. Baadae ndo haohao tuliowanyang'anya mali zao tukaanza kuwauzia mali zetu kwa bei ya kutupwa kwa kile kinachoitwa ubinafsishaji. Huwa ninawaambia watu matatizo yetu yameanzia mbali sana tangu enzi za mababu zetu. Jiulize wakati mababu wa kizungu wanaijenga Eiffel Tower pale Paris mwaka 1905, babu zetu walikuwa wanafanya nini? Mzee wa Kino bado tuna shughuli pevu sana kujikomboa. Kuna wapuuzi watasema tatizo ni CCM bila kukumbuka kwamba hata hao wapinzani hawajawahi kuja na suluhisho nini kifanyike zaidi ya kulalamika. Sasa hivi kuna crisis ya dola ila sijasikia mpinzani akitoa suggestion ya kitaalamu zaidi ya kulalamika.
Kwanini unaandika pumba asubuhi mapema?WWe
We mburura kweli kweli! Mpinzani atatoaje solution wakati haongozi?!
Why notWWe