Video?Kwa tunaofuatilia kampeni za mgombea wa ccm,kuna kitu nadhani wengi wetu tutakua tushakiona.
Mama Samia akiwa ananadi sera zake anaongea akiwa anahema sana.sina uhakika kama ndio ongea yake iko hivyo.
Naomba wahusika wampumzishe kidogo.
Karibia Wazinzibar wote huwa wanaongea hivo. KUMBUKA wakati anatutangazia kifo cha Magufuli alikua anahema hivo hivo. Hata Dkt Bilal pia huwa anaongea kama anahema..Huenda kuhema kwake kunachangiwa na unene alionao na ukichukulia ni mtu mzima ,kukosa maradhi ya pressure pia ni ngumu.Kwa tunaofuatilia kampeni za mgombea wa ccm,kuna kitu nadhani wengi wetu tutakua tushakiona.
Mama Samia akiwa ananadi sera zake anaongea akiwa anahema sana.sina uhakika kama ndio ongea yake iko hivyo.
Naomba wahusika wampumzishe kidogo.
Kama anaumwa, ni jambo la kumshukuru na kusema alihamdullillahi maana kila kitu anatoa mwenyezi Mungu.Kwa tunaofuatilia kampeni za mgombea wa ccm,kuna kitu nadhani wengi wetu tutakua tushakiona.
Mama Samia akiwa ananadi sera zake anaongea akiwa anahema sana.sina uhakika kama ndio ongea yake iko hivyo.
Naomba wahusika wampumzishe kidogo.
Kwa tunaofuatilia kampeni za mgombea wa ccm,kuna kitu nadhani wengi wetu tutakua tushakiona.
Mama Samia akiwa ananadi sera zake anaongea akiwa anahema sana.sina uhakika kama ndio ongea yake iko hivyo.
Naomba wahusika wampumzishe kidogo.
Laana za Watanzania zinamtafuna, huwezi kuwa mwizi wa umma ukabaki salama, never. Huku mtaani mwizi kama yeye na genge lake tunawaua iweje yeye yupo tu anahema kama katoka kunaniliwaaa huku akiwadanganya walalahoi tena bila haibu?Kwa tunaofuatilia kampeni za mgombea wa ccm,kuna kitu nadhani wengi wetu tutakua tushakiona.
Mama Samia akiwa ananadi sera zake anaongea akiwa anahema sana.sina uhakika kama ndio ongea yake iko hivyo.
Naomba wahusika wampumzishe kidogo.
Sqmia ni binadamu kwanini asiheme?Kwa tunaofuatilia kampeni za mgombea wa ccm,kuna kitu nadhani wengi wetu tutakua tushakiona.
Mama Samia akiwa ananadi sera zake anaongea akiwa anahema sana.sina uhakika kama ndio ongea yake iko hivyo.
Naomba wahusika wampumzishe kidogo.
Anaiba nini? una ushahidi wa hayo usemayo?Laana za Watanzania zinamtafuna, huwezi kuwa mwizi wa umma ukabaki salama, never. Huku mtaani mwizi kama yeye na genge lake tunawaua iweje yeye yupo tu anahema kama katoka kunaniliwaaa huku akiwadanganya walalahoi tena bila haibu?
Novena hiyo kudadadadeqKwa tunaofuatilia kampeni za mgombea wa ccm,kuna kitu nadhani wengi wetu tutakua tushakiona.
Mama Samia akiwa ananadi sera zake anaongea akiwa anahema sana.sina uhakika kama ndio ongea yake iko hivyo.
Naomba wahusika wampumzishe kidogo.
Mawili, Novena ina jibu au anajua anadanganya hadi roho inamuumaKwa tunaofuatilia kampeni za mgombea wa ccm,kuna kitu nadhani wengi wetu tutakua tushakiona.
Mama Samia akiwa ananadi sera zake anaongea akiwa anahema sana.sina uhakika kama ndio ongea yake iko hivyo.
Naomba wahusika wampumzishe kidogo.
Naona bado umelala, pole!Anaiba nini? una ushahidi wa hayo usemayo?
Mtachanganyikiwa sana, mtatukana sana, mtakasirika sanaaaaaa.........mapunga nyie! Samia amepewa na Mungu, atalindwa na Mungu. Katikati ya michuki yenu nyie wangese ndipo alipoibuka na katikati ya michuki yenu tena ataimalika zaidi......upinde mkubwa we unayehudumu bottomLaana za Watanzania zinamtafuna, huwezi kuwa mwizi wa umma ukabaki salama, never. Huku mtaani mwizi kama yeye na genge lake tunawaua iweje yeye yupo tu anahema kama katoka kunaniliwaaa huku akiwadanganya walalahoi tena bila haibu?
Muhusika wa afya ni MunguNaomba wahusika wampumzishe
Utaratibu ni uleule kama kilichomtokea Magu, Nchimbi atachukua nafasi yaani ndio utaratibu wa Chama sasa hiviKwa tunaofuatilia kampeni za mgombea wa ccm,kuna kitu nadhani wengi wetu tutakua tushakiona.
Mama Samia akiwa ananadi sera zake anaongea akiwa anahema sana.sina uhakika kama ndio ongea yake iko hivyo.
Naomba wahusika wampumzishe kidogo.