GE2025 Mbona Rais Samia anahutubia wafuasi wake akiwa anahema sana, yuko sawa kiafya kweli?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwa tunaofuatilia kampeni za mgombea wa ccm,kuna kitu nadhani wengi wetu tutakua tushakiona.
Mama Samia akiwa ananadi sera zake anaongea akiwa anahema sana.sina uhakika kama ndio ongea yake iko hivyo.
Naomba wahusika wampumzishe kidogo.
Anachanganikiwa kwa laana za Watanzania, huyu mama Abdul hatufai kabisa.
 
Karibia Wazinzibar wote huwa wanaongea hivo. KUMBUKA wakati anatutangazia kifo cha Magufuli alikua anahema hivo hivo. Hata Dkt Bilal pia huwa anaongea kama anahema..Huenda kuhema kwake kunachangiwa na unene alionao na ukichukulia ni mtu mzima ,kukosa maradhi ya pressure pia ni ngumu.
Mbona Rais mwinyi au Shein wao hawahemi hivyo mkuu?
 
Wanahesabu mikoa aliyotembelea mpaka sasa ni minne. Wanasubiri amalize ngonjera, taarabu na mipasho yake wafanye maigizo yao ya uchaguzi ilhali kura tayari wanazo. Atatangazwa mshindi kwa 78% kama si 83%.
 
Itakua kama mwinyi tu 2020 😁
 
Kwa tunaofuatilia kampeni za mgombea wa ccm,kuna kitu nadhani wengi wetu tutakua tushakiona.
Mama Samia akiwa ananadi sera zake anaongea akiwa anahema sana.sina uhakika kama ndio ongea yake iko hivyo.
Naomba wahusika wampumzishe kidogo.
Asipohema atakuwa mfu. Mtu mwenye afya lazima aheme, hicho ndiyo kipimo cha uhai.

Mtawanga sana, mtafunga novena ila Mungu ndiye mwenye jibu la lini atamchukua mja wake. Chuki yenu kwa huyu mama inamuimarisha zaidi kuliko kumbomoa. Mtakufa nyinyi na yeye mtamuacha hai
 
Kwa tunaofuatilia kampeni za mgombea wa ccm,kuna kitu nadhani wengi wetu tutakua tushakiona.
Mama Samia akiwa ananadi sera zake anaongea akiwa anahema sana.sina uhakika kama ndio ongea yake iko hivyo.
Naomba wahusika wampumzishe kidogo.
slowslow
 
Karibia Wazinzibar wote huwa wanaongea hivo. KUMBUKA wakati anatutangazia kifo cha Magufuli alikua anahema hivo hivo. Hata Dkt Bilal pia huwa anaongea kama anahema..Huenda kuhema kwake kunachangiwa na unene alionao na ukichukulia ni mtu mzima ,kukosa maradhi ya pressure pia ni ngumu.
Wasema uongo wengi huhema hovyo.
 
Back
Top Bottom