Field Marshall 11
JF-Expert Member
- Nov 28, 2024
- 1,018
- 1,717
Kwa sababu anajua anadanganya, halafu anaji-feel guilty. Muuaji huyo.Kwa tunaofuatilia kampeni za mgombea wa ccm,kuna kitu nadhani wengi wetu tutakua tushakiona.
Mama Samia akiwa ananadi sera zake anaongea akiwa anahema sana.sina uhakika kama ndio ongea yake iko hivyo.
Naomba wahusika wampumzishe kidogo.
1 vs 0