GE2025 Mbona Rais Samia anahutubia wafuasi wake akiwa anahema sana, yuko sawa kiafya kweli?

GE2025 Mbona Rais Samia anahutubia wafuasi wake akiwa anahema sana, yuko sawa kiafya kweli?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Asipohema atakuwa mfu. Mtu mwenye afya lazima aheme, hicho ndiyo kipimo cha uhai.

Mtawanga sana, mtafunga novena ila Mungu ndiye mwenye jibu la lini atamchukua mja wake. Chuki yenu kwa huyu mama inamuimarisha zaidi kuliko kumbomoa. Mtakufa nyinyi na yeye mtamuacha hai
Kwa hiyo mkuu,mtu ukiuliza afya ya mtu ni una chuki nae?
 
Kwa tunaofuatilia kampeni za mgombea wa ccm,kuna kitu nadhani wengi wetu tutakua tushakiona.
Mama Samia akiwa ananadi sera zake anaongea akiwa anahema sana.sina uhakika kama ndio ongea yake iko hivyo.
Naomba wahusika wampumzishe kidogo.
Hana shida ya kiafya,ila yuko overweight hata kwa kumuangalia tu,hivyo anachopaswa kushauriwa ni kupunguza uzito,hilo ni tatizo la watu wengi wenye uzito mkubwa...
 
Mzee Mwinamila kutoka Unyanyembe!kipaji kisichokumbukwa
Umenikumbusha Kila night mzee 😂 wangu alikua ana weka TAPE YAKE..

Ka kibwagizo .. BINADAMU SIKU IZIII WANA MATATIZO MENGIII...Kinaanza kinyamweziii kingiii.
 
Kwa tunaofuatilia kampeni za mgombea wa ccm,kuna kitu nadhani wengi wetu tutakua tushakiona.
Mama Samia akiwa ananadi sera zake anaongea akiwa anahema sana.sina uhakika kama ndio ongea yake iko hivyo.
Naomba wahusika wampumzishe kidogo.
Mwacheni mama alani inadi ya chama chake!
 
Huyo mama ametupoka watanzania uhuru wetu,mali na haki ya kuchagua viongozi tuwapendao!Hatobaki salamaa yeye na vizazi vyake!Tupo hapa!
 
Kwa tunaofuatilia kampeni za mgombea wa ccm,kuna kitu nadhani wengi wetu tutakua tushakiona.
Mama Samia akiwa ananadi sera zake anaongea akiwa anahema sana.sina uhakika kama ndio ongea yake iko hivyo.
Naomba wahusika wampumzishe kidogo.
Washamvuruga tayari! Umakini haupo!
 
Back
Top Bottom