GE2025 Mbona Rais Samia anahutubia wafuasi wake akiwa anahema sana, yuko sawa kiafya kweli?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwa tunaofuatilia kampeni za mgombea wa ccm,kuna kitu nadhani wengi wetu tutakua tushakiona.
Mama Samia akiwa ananadi sera zake anaongea akiwa anahema sana.sina uhakika kama ndio ongea yake iko hivyo.
Naomba wahusika wampumzishe kidogo.
Yaani kahutubia mikoa mitatu tu tayari keshakata pumzi maana anachanganya sana madesa
 
Ana-ekt kujisumbua ili ionekane alipata ridhaa ya kuongoza Wananchi kwa msoto.......

Tanzania tuna majimbo ya uchaguzi 200+ katika wilaya 120+
Samia hawezi kuzunguka eneo la nchi hii kwa 30%
 
Anaiba nini? una ushahidi wa hayo usemayo?
ROSTAM AZIZI Kauziwa mgodi kwa shiling bilion 5
campaign materials anaprint mtoto wa raisi bwana ABDUL unataka watu wawe na ushahidi upi ili uridhike mkuu
mana hata ukiambiwa kuna cables za kuchakachua matokeo kati ya tume, nida na ccm pia utahitaji ushahidi
hata ukiambiwa ccm ilichangiwa pesa na majizi na wala rushwa pale mlimani city pia utataka ushahidi wakati kina theis tumbo tumbo walikuwepo na walichanga
ushahidi wa kimazingira
 
Ana-ekt kujisumbua ili ionekane alipata ridhaa ya kuongoza Wananchi kwa msoto.......

Tanzania tuna majimbo ya uchaguzi 200+ katika wilaya 120+
Samia hawezi kuzunguka eneo la nchi hii kwa 30%
ndo mana ilibidi kuwafunga kwanza wapinzani wake kina LISU na kubaki na VIKARAGOSI kina SALUM MWALIMU
Hana pu,zi ya kupambana na lisu yule
 
Kwa tunaofuatilia kampeni za mgombea wa ccm,kuna kitu nadhani wengi wetu tutakua tushakiona.
Mama Samia akiwa ananadi sera zake anaongea akiwa anahema sana.sina uhakika kama ndio ongea yake iko hivyo.
Naomba wahusika wampumzishe kidogo.
NAUNGA MKONO HOJA, RAIS WETU MPENDWA APUMZIKE JAPO WIKI MBILI
 
ROSTAM AZIZI Kauziwa mgodi kwa shiling bilion 5
campaign materials anaprint mtoto wa raisi bwana ABDUL unataka watu wawe na ushahidi upi ili uridhike mkuu
mana hata ukiambiwa kuna cables za kuchakachua matokeo kati ya tume, nida na ccm pia utahitaji ushahidi
hata ukiambiwa ccm ilichangiwa pesa na majizi na wala rushwa pale mlimani city pia utataka ushahidi wakati kina theis tumbo tumbo walikuwepo na walichanga
ushahidi wa kimazingira
Usiandike tu hayo maneno kila mtu anaweza kuyaandika toa ushahidi juu ya hayo usemayo,huo mgodi aliouziwa rostam weka mkataba hapa,rostam kwa taarifa yako ana migodi hadi australia,irani tena kanunua hadharani,qcheni kumsingizia vitu bila ushahidi
 
Kwa tunaofuatilia kampeni za mgombea wa ccm,kuna kitu nadhani wengi wetu tutakua tushakiona.
Mama Samia akiwa ananadi sera zake anaongea akiwa anahema sana.sina uhakika kama ndio ongea yake iko hivyo.
Naomba wahusika wampumzishe kidogo.
Na hapo Hirizi zinasaidia, ila zikiondolewa tu tegemea Bendera kupepea nusu mlingoti huku Peter Msechu nae akifanya yake.
 
Ukiwa na urafiki na wanamtandao unakuwa upo kwenye hatari zaidi kuliko hata maadui zao they tend to tie the loose ends usually kwahyo ni muhimu kuwa makini muda wote hasa kwenye hiki kipindi cha kuzurula huku na huku
 
Japo kiurais simkubali Samia lakini siwezi kumuombea kifo aisee wanajf msameheni Samia na yeye ni binadamu sio malaika hajakamilika
 
Kukosa utulivu katika kuwasilisha jambo huweza kuwa sababu ya

  • hulijui vyema unalolisema ,huna uhakika yani
  • hofu na wasi wasi
  • jazba

Haya hupelekea pumzi kuto balance sawa sawa wakat wa mazungumzo
 
Back
Top Bottom