GE2025 Mbona Rais Samia anahutubia wafuasi wake akiwa anahema sana, yuko sawa kiafya kweli?

GE2025 Mbona Rais Samia anahutubia wafuasi wake akiwa anahema sana, yuko sawa kiafya kweli?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Nyinyi enzi hizi pengine hamelewi kwamba kuna watu wana immunity sisi enzi zetu tulikuwa tunajua wazi mgeni anapokuja nyumbani anaweza kufanya mambo mengi ambayo kwetu sisi ni mwiko kuyafanya ni kwa sababu yeye ana immunity sasa utakapomuiga akishaondoka lazma uadhibiwe vibaya sana

Nafkiri na kidiplomasia ipo hivyo ukijua kwamba watu tupo sawa lakini hatupo sawasawa haiwezi kukusumbua unalikuta jitu linapita taa nyekundu likisimamishwa linasema mbona yule tumepita wote umemuacha kwamba ndo utetezi wake😁😁😁
 
Back
Top Bottom