Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 3,727
- 3,777
Hata ukiutazama itakuwa dhambi hakuna namna mpira huo utakuwa halaliHata wa simba na yanga utakuwa haramu kwako kutokana jinsi utakavyo utazama utavyo ushabikia.
Mfano ww ukienda kununua jezi ya simba yenye nembo ya m bet tiyari ww unadhambi ya kuvaa nguo inayo tangaza kamari.
Hehehewalevi ni wapumbavu sana
kwani lazima????????????????????Wakuu kwema…
Tupo huku tunavuna viazi na wananzengo wenzangu.
Hoja ikaibuka, mbona hatujawahi kuona tangazo la kilimanjaro lager, safari lager, serengeti lite na vinywaji vya namna hiyo katika chaneli za Utv, Azam one & two, Azam Sports 1, 2, 3, 4 wala Sinema Zetu.
Mdau mwingine akasema yeye hajawahi kuona tangazo la sportspesa, sportybet, biko na mengineo ya aina hiyo katika chaneli hizo.
Je tatizo ni nini haswa?
Kuuza genge,duka, shule kuna hivyo vyote,utasema shule haram, kwenye mpira vazi gani haramu!!1.Uharamu katika mavazi.
2.Uharamu katika matangazo ya vitu vya haramu kama pombe na kamari.
3.Uharamu katika kusababsha watu kuzembea ibada.
kaa chiniHehehe
Utuliekaa chini
Unauliza vazi gani haramu wakati unawaona wanacheza uchiKuuza genge,duka, shule kuna hivyo vyote,utasema shule haram, kwenye mpira vazi gani haramu!!
watu hawataki pesa za haramuWakuu kwema…
Tupo huku tunavuna viazi na wananzengo wenzangu.
Hoja ikaibuka, mbona hatujawahi kuona tangazo la kilimanjaro lager, safari lager, serengeti lite na vinywaji vya namna hiyo katika chaneli za Utv, Azam one & two, Azam Sports 1, 2, 3, 4 wala Sinema Zetu.
Mdau mwingine akasema yeye hajawahi kuona tangazo la sportspesa, sportybet, biko na mengineo ya aina hiyo katika chaneli hizo.
Je tatizo ni nini haswa?
Uchi wapi wewe!?..hizo complications zenu Allah sw siyo zakeUnauliza vazi gani haramu wakati unawaona wanacheza uchi
Unaujua uchi ni upi katika sheria ya kiislamUchi wapi wewe!?..hizo complications zenu Allah sw siyo zake
Sheria ya kiislam ni Quran,haijataja habari za uchiUnaujua uchi ni upi katika sheria ya kiislam
Kwa hiyo Sunnah ya Mtume si katika sheria ya diniSheria ya kiislam ni Quran,haijataja habari za uchi
Sunnah I ayodaiwa kuwa ya mtume kila dhehebu(mtu) ana yake, sunnah (mwendo) wa mtume ni QuranKwa hiyo Sunnah ya Mtume si katika sheria ya dini
Na maneno yake jeSunnah I ayodaiwa kuwa ya mtume kila dhehebu(mtu) ana yake, sunnah (mwendo) wa mtume ni Quran
Biashara vinahusianajeMmiliki ni Muislam unataka aweke Tangazo la Pombe
Maneno akiwaomba wakeze tende na kanzu au akiulizia kobazi?Na maneno yake je
Nijibu tu hadith zake unaziamin huziaminManeno akiwaomba wakeze tende na kanzu au akiulizia kobazi?
Kwamujibu wako na si kwa mujibu wa maandiko.Hata ukiutazama itakuwa dhambi hakuna namna mpira huo utakuwa halali
Kwa hiyo maandiko yanaruhusu kumtazama mtu aliye uchiKwamujibu wako na si kwa mujibu wa maandiko.