Mbona wasukuma na wahaya wana akili sana za darasani 🤔

Then what ,mtu mwenye akili ni yule anatawala mazingira yake,kukariri SI akili
 
Watu wenye kipaji wapo kwa kila jamii sio Wahaya tu..

Miaka Ile ya 90 nilikutana na brother mmoja wa Kiunguja ananisimulia katika mtihani wa F IV alipata div III.
Wakalazimishwa akasome mambo ya fedha Dar es salaam, akakataa kwa sababu aliona atakwenda kudhalilika mbele ya Wahaya wenye Div I za moto. Akambiwa nenda tu usiogope. Akakubali shingo upande.
Basi anasema alipofika baada ya muda yeye ndio alikuwa mwalimu wa wale wenye Div I .
 
Labda VETA na chuo cha nyuki Tabora. Ila level za UDSM, Mzumbe, SAUT, Sokoine wameshapotezwa.
Wapo sana tena zaidi ya sana. Nenda shule za a level utawakuta na asilimia kubwa wanafaulu. Yani ukweli huu haubadiliki pamoja na kufanyiwa figisu sana kipindi cha mwendazake.
 
Wasukuma akili hamna wanarudia sana shule
 
Naunga mkono hoja mkuu... Huku kuna jamaa lina akili sanaa yn lina uwezo mkubwa wa kukariri vitu na liko smart kwenye kazi hata vikao vya ofisini huwa linazungumza fact tu... But tatizo lipo kwenye mavazi yupo lafu sanaa some time hata nywele hachani aisee
 
Well..It’s (most likely) based on a number of factors..I will simply analyze only 5 factors[emoji4]


3 - Your what you Raised [emoji4]Actually communicating with your child at a young age

Naomba unifafanulie point hii mie wa ngumbalu.
 
Umesahau Wanyakyusa.
 
Akili ni mada subjective, hauwezi ukasema watu wa group fulani wana akili za darasani kwa kuwalinganisha na watu ambao hawajaenda darasani.

Hii mada nzima inatosha kuonesha mleta mada una upeo kiasi gani kiasi cha kuja na non sequitur argument kama hii. Hata hivyo kujifariji ni njia moja wapo ya kucope na uhalisia.
 
Kuna mmoja aliwahi kupewa mamlaka mahali. Alikuwa bonge la kilaza. Hawana lolote. Wanaongoza kwa kukariri na kutumia nguvu kusoma. Wazito kuelewa hao. We labda hujui. Bora useme wanyakyusa au wachaga.
Kweli
 
Umetokea ukanda gani?
 
Ujinga mtupu. Kwa ushahidi upi?
 
Hayo makabila simply yanawatu wengi kwaio lazima popote uwakute hata kwenye ujinga pia wapo wengi vilevile, sasa mfano wasukuma wapo mikoa 4 utaweza kufananisha na wayao, au wamatumbi kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…