Uchaguzi 2020 Mbowe aitahadharisha Tume ya Uchaguzi kuhusu tuhuma za kupanga njama ya kumuengua Lissu kwenye mbio za Urais

Huyu jiwe bila kumpinga na kumpa wakati mgumu atatuona wote kama hamnazo. Vyama makini vya upinzani viungane kumsusia uchaguzi huyu mtu ili atawale mwenyewe.
 
Mkuu wanafiki na wachumia tumbo ndivyo walivyo. Wanaujua ukweli husika lakini siku zote huweka maslahi ya matumbo yao mbele badala ya maslahi ya Taifa na raia wake wote.

Huyu eti leo ni kiongozi wa ccm ambaye anakataa tume huru .
 
Huyu jiwe bila kumpinga na kumpa wakati mgumu atatuona wote kama hamnazo. Vyama makini vya upinzani viungane kumsusia uchaguzi huyu mtu ili atawale mwenyewe.
ni hasara kubwa kumwachia nguruwe shamba la mihogo , tutamdhibiti vibaya sana jukwaani
 
Msingi wa amani ni haki ndiyo maana tunaamrishwa kutenda haki ili amani
itamalaki.

Wakoloni walipingwa na babu zetu kwa kuwa walikuwa hawawatendei haki babu na bibi zetu.

Sehemu yoyote ambako haki haitendeki hutakuta amani.Hata kama wale watu wanaonyimwa haki zao ni wanyonge watajaribu kujitetea pamoja na unyonge wao .

Amani bila haki yafaa nini , tujitahidi kuilinda amani yetu maana tunaipenda nchi yetu ambayo ndiye mama yetu.

Chonde chonde wote wanaohusika tunaomba uchaguzi wa haki na huru masuala ya kuwaamua mtuachie sisi wapiga kura maana sisi tutashindana kwenye masanduku ya kupigia kura kila mtu na mgombea wake nyie mtulie tu maana hakuna aliyeletwa na Mungu.

Wakati mwingine huwa naamini hii dunia ingekua na amani kama kusingekuwa na siasa.
 
Unaposema wapinzani wana informers ndani ya hii serikali mimi nakukatalia.

Ila ninaamini kuwa haohao watu unasema wa serikali hawaitaki hii serikali iliyopo madarakani.

Kwahiyo hawa watu wenyewe tu wanaamua kujirisk kumwaga data sababu hata wao wamechoka aiseeee.
 
Uko nyuma yake wewe na familia yako ,sisi hatuko naye kabisa.
 
Utafanya nini wewe Bwashee! Unadhani kutishia dola ni sawa na kunywa Konyagi kubwa?

Katika vyama vyote vya siasa umeona chama gani ambacho mgombea wake alifanya mikutano ya hadhara wakati wa kutafuta wadhamini?

Sasa naomba akatwe alafu tuone mtafanya nini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…