hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
WellHakuna amani bila haki. Kwanza haki halafu amani itakuja tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WellHakuna amani bila haki. Kwanza haki halafu amani itakuja tu.
Dhahiri !Lissu rais 2020
Haya si maneno yangu ni ya Kiongozi wa juu wa maccm.
Safari hii anapasua nchi
Mabeberu ni akina nani ?Kwani mwenyekiti umekula sh ngapi za mabeberu mbona uko ress sana...
Umeandika kwa kutumia akili ya kulengea tundu la choo!Mbowe anatamani Lisu akatwe ili wafaidi mpunga wa Membe kwenye kampeni.
NEC siyo wajinga hakatwi mtu.
Huyu jiwe bila kumpinga na kumpa wakati mgumu atatuona wote kama hamnazo. Vyama makini vya upinzani viungane kumsusia uchaguzi huyu mtu ili atawale mwenyewe.Hili hapa andiko lake
Watanzania wenzangu, tuna masaa 24 kwa NEC kuweka Msingi wa Amani ya Tanzania. Mkakati wowote wa kuengua kwa hila wagombea wetu utapokelewa kwa kishindo kikubwa. #NoLissuNoElection!#SasaBasi! Uzalendo uonyeshwe kwa kusimamia haki na si vinginevyo.
Huyu eti leo ni kiongozi wa ccm ambaye anakataa tume huru .
ni hasara kubwa kumwachia nguruwe shamba la mihogo , tutamdhibiti vibaya sana jukwaaniHuyu jiwe bila kumpinga na kumpa wakati mgumu atatuona wote kama hamnazo. Vyama makini vya upinzani viungane kumsusia uchaguzi huyu mtu ili atawale mwenyewe.
😆😆😆Umeandika kwa kutumia akili ya kulengea tundu la choo!
Inaonekana Tundu la choo umejaaliwa bwashee!Umeandika kwa kutumia akili ya kulengea tundu la choo!
Unaposema wapinzani wana informers ndani ya hii serikali mimi nakukatalia.Kuna jambo hapa limepangwa na si bure.
Wapinzani bila shaka wana informers ndani ya hii ya serikali, hivyo habari hii si ya kupuuza na tukumbuke hata Lissu jana aliongelea jambo hili.
Wacha tusubiri,kesho sio mbali ila wajue tu, watatufikisha wanakotaka lakini na wao pia wakiwemo maana wote tuko kwenye jahazi moja.
Ishara za awali(iwapo kweli upo huo mpango), ni kesho kuwa na ulinzi usio wa kawaida katika Mahakama ya Kisutu na maneno ya jirani, na hata Makao Makuu ya CHADEMA nayo yanaweza kuzungukwa na ulinzi wa aina hiyo-mtazamo wangu.
Na kwa tweet hii,sitashangaa kusikia Mbowe kaitwa kwa mahojiano au anashikiliwa.
Utakuwa unapumuliwa wew,sio bure!Inaonekana Tundu la choo umejaaliwa bwashee!
Uko nyuma yake wewe na familia yako ,sisi hatuko naye kabisa.Haki ni pamoja na Lissu kufuata SHERIA na taratibu tulizoziweka. Tume fanyeni kazi yenu. Kama vipi wazee wa kazi mtakutana nao barabarani. Acheni kujihami kwa kuwatisha Tume na watanzania.
JPM tuko nyuma yako. Kila mtu atahukumiwa sawasawa na matendo yake. Kwanini Lissu asihukumiwe kama atakuwa amekwenda kinyume na utaratibu?
Utafanya nini wewe Bwashee! Unadhani kutishia dola ni sawa na kunywa Konyagi kubwa?Hili hapa andiko lake
Watanzania wenzangu, tuna masaa 24 kwa NEC kuweka Msingi wa Amani ya Tanzania. Mkakati wowote wa kuengua kwa hila wagombea wetu utapokelewa kwa kishindo kikubwa. #NoLissuNoElection!#SasaBasi! Uzalendo uonyeshwe kwa kusimamia haki na si vinginevyo.
Hili hapa andiko lake

hata Gadaffi alikuwa na filimbi kama wewe lakini mwisho wa siku aliokotwa kwenye mtaro wa maviMtafanya nini vibwengo nyie