Mbowe akiri kuukubali "mziki" wa Rais Samia, agomea wana-Chadema kuingia barabarani, asema ni mihemko

Kwanini awamu iliyo pita miliponda kazi zote za JPM
 
Kovu linalotokana na mihemuko
 
Hivi kwanini wewe shaka uwa unarembua macho [emoji1787] watu wanadai wewe ni bwabwa ?
Siku zote mtu anapokua na tabia fulani basi huamini kua na watu wengine wana tabia kama yake,wakubwa tumekuelewa,

Kingine mm sipo kwenye ushabiki wa kisiasa,nimecomment bila kuweka ushabiki wa aina yeyote ile,
Grow up.
 
Ndiyo maana huwa nasema CCM bado ina miongo kadhaa madarakani.
 
Watakaofutwa machooozi.... AMECHAGUKIWA AH!

Kilio chake cha muda mreefu... AMEKISIKIA AH!

Waazamani si wasasa
Maambo yamebadilika

IMEKULA KWENU
IMEKULA KWENU....
 
B Binafsi nimpongeze Mbowe kwa mapambano ya muda mrefu na kwa mafanikio aliyoyapata kwenye siasa za upinzani.
Huyu ni mtu ambaye amekua na msimamo imara na kufanya upi zani kuimarika sana.
Lakini nikiri kwamba kwa sasa nguvu na mvuto umepungua sana ni muda wake wa kustaafu kwa heshima .
Naamini chadema ni Ina vijana wenye nguvu na ari mpya ya kuletea chama manadiliko makubwa
 
Nyie mnaolalama,huko barabarani huwa mnatokea,??
 
Niliwahi kusema hapa kwamba ili tupate vyama pinzani vya kweli lazima viongozi wa upinzani wafungwe kabisa jela ndio watakuwa na AKILI,zaidi ya hilo usitarajie chochote zaidi ya UNAFIKI na upokeaji wa fedha(HONGO)kinyemela,WATANZANIA TUJIFUNZE SOMO HILI HAO NDIO WAMESHATUACHA HIVYO NA TUMESHA BAKI PEKE YETU.Tusiwatarajie watu wanao tanguliza Mwili halafu wanaacha AKILI NYUMA kwamba eti watatupigania tusahau kabisa.
 
Siasa sio uadui ama mapambano kila siku..ila kwa mwendo huu na wasiawasi na mwenendo wa mwenyekiti.

Kwahiyo harakati za kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi ndio zimeumaliza mwendo?
Unajuaje, pengine hivi vikao ni kwa nia ya kukubaliana juu ya namna ya kupata katiba mpya iliyo bora bila ya mikwaruzano?
 
Naona malalamiko hao "darmpya blog" wanatumiwa na kina Kitila ku edit maneno ya Mbowe kwa malengo yao binafsi, wasiaminiwe wanachoandika.

Vyema watu wawe makini nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…