CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Mbowe mwisho wake tarehe 21 January. Lissu ndiye mwenyekiti ajaye,wana Chadema ndiyo wameamua wewe nenda mkachague makamu wenu huko Dodoma ya huku tuachie wenyewe hayakuhusu.Ni heri chama kife kuliko Lissu kuwa mwenyekiti, we unacheza nini. Nani mjinga aanzishe taasisi yake halafu ichukuliwe kiboya kwa kejeli na matusi.