Tatizo lipo hapo, mkataba unasema watapewa haki za ardhi yoyote watayoitaka bila masharti yoyote na serikali ndio yenye jukumu ya kuhakikisha wanapata ardhi hiyoNaona machawa wao wanatetea ooh DP world wapo adi Marekani na uingereza ...
Hivi mkataba ataoingia na Marekani na Uingereza ni sawa na atao Negotiates na Tanzania? Nchi iliyojaa viongozi wa Kimangungo na walamba Asali ?
Kwanza power aliyonayo Marekani na UK kwenye Negotiations sie tunayo?
Aongezewe asali ,Aliyosema leo, kama nilisema amelamba asali basi namuomba msamaha. Ametanguliza maslahi ya taifa mbele
Umeanza kulijua leo mkuu?Huyu mama ananipa mashaka sana
Duuh, kwa mantiki hii anaweza kubinafsisha Bank kuu... sio kila kitu cha kubinafsishaUmeanza kulijua leo mkuu?
Kitambo tulishangamua ila tulibaki kuambiwa sukuma, wazee wa legacy
Nyie chadomo hamnaga akili. Magu mlimkataa, mkamkubali bmkubwa, ameuza nchi mnaanza makelele.Nilikua namsikilizambowe anasema mkataba hauna ukomo.
Anasema yupo tayari kuamsha nchi nzima Kama bunge litapitisha
Leo nimeona ameongea kwa hisia sana.
Ni sehemu nyeti mno yani ni kitovu cha usalama wa nchiiMwanza
Mbeya
Arusha
Dar......
Pigeni jaramba......
Bandari ni sehemu NYETI kama mboni ya jicho huko ndo Injini ya Taifa inako kaa
Cc Yericko Nyerere
Kwa mara ya kwanza naungana na Mbowe tena wazi wazi bila chenga...Mwamba kama Mwamba!
Utafikiri tamthilia...God of mercy!Ni sehemu nyeti mno yani ni kitovu cha usalama wa nchii
Aliyepiga filimbi aliona hili...Lease of the land for 99 years was what would have followed then unavunjaje mkataba baada ya land kuwa leased?Anasema ameambiwa pia Kuna mengi ambayo yatafanyika nje ya mkataba
Binafsi nilichosokitika ni ile anasema dp world wamepewa exclusive rights kwenye ardhi yoyote wanayotaka kwa ajili ya kufanya kazi zao
Hii hoja si kubwa kama kugawa ardhi ya nchi...Tuacheni utani!Hiko ndio amehoji mbowe,kwa nini bandari zote za bara wakati za Zanzibar hazijajumuishwa
Sheria ya ardhi inaulinda bado...Unless kama walishapewa hati yao kama mkataba independent otherwise tumshukuru huyo whistle blower...Huwo mkatabata wameshaingia makubaliano au ni hatua za mwanzo? Ufafanuzi tafadhal
CCM hapa inaingiaje kwamfano?CCM ni janga la Taifa aisee..
Si ndio wanamaanisha hakuna ukomo? Punguza uongo.Wanatunganya walevi wa asali hawa.
Huku kaimu wake anadai hajaona palipoandikwa mkataba miaka 100