Mbowe anasema mkataba ni zaidi ya miaka 100, hauna ukomo. Ni life time

Nilikua namsikilizambowe anasema mkataba hauna ukomo.

Anasema yupo tayari kuamsha nchi nzima Kama bunge litapitisha

Leo nimeona ameongea kwa hisia sana.
Tatizo wao kama upinzani wangetakiwa kuonyesha nguvu yao sasa na sio kuongea tuu kirahisirahisi na kuja kusubiri siku ya kampeni za uchaguzi na kusema kuhusu bandari.
Kama upinzani wao wangetakiwa kwanza kurudi haraka uko walipo na kuja kupambana hapa.
Tunaona jinsi Raila anavyofaiti na kuwa upande wa wananchi toka day one (siku ya kwanza)
baada ya uchaguzi kuisha. Lakini tanzania ndio kwanza wanapost tu vi clips wakiwa ulaya.
 
Kakudanganya na wewe umedanganyika.
Huo nkataba unaoongelewa uko wapi? mbona hauwekwi hapa?
Niwekee huo mkataba wako wa ukweli, iko siku utapata akili, muda bado upo, usikate tamaa endelea kusubiri!.

Niendelee kukuhabarisha yaliyomo kwenye mkataba, mule ndani kuna kipengele cha confidentiality, ambamo ndani ya hicho kipengele, ndimo wameficha duration ya mkataba humo, halafu sisi watanzania tukaitwa third party kwenye hicho kipengele cha confidentiality, ambao hatutakiwi kujua chochote kuhusu siri za mkataba ule, ikiwemo muda wake.

Maana yake, sisi watanzania wenye bandari yetu, tumefichwa terms za kwenye mkataba na wale tuliowapa dhamana ya kutusimamia, halafu badala yake wanaenda kufanya mambo ya siri ambayo sisi mabosi wao hawataki tuyajue, upo bibi?!

Huu moto huwezi kuuzima kizamani hivyo bibi, msalimie shemeji yako Zitto!.
 
Nilikua namsikilizambowe anasema mkataba hauna ukomo.

Anasema yupo tayari kuamsha nchi nzima Kama bunge litapitisha

Leo nimeona ameongea kwa hisia sana.
Aendelee kumsifia mama na kuwakataza watu kumkosoa

Hasira za bandia
 
Huna akili!
 
DP world ni kampuni kongwe kwenye sekta ya bandari duniani..,ilishaoperate hata baadhi ya bandari ndani ya ardhi ya USA..

Sijui mpaka sass kama bado wanaendelea baada ya amendment ya kiusalama kupelekwa kwenye bunge Ili Dp world inyang'anywe zile bandari 3 iliyokuwa ikiziendesha...

In short Kwa upigagaji ulioko kwenye bandari yetu....na urasimu usio na maana....

Ni mara mia kuipa tenda Dp world...

Baadhi ya wanasiasa wanaopiga piga kelele....
Wana maslahi binafsii Moja Kwa Moja kupitia kampuni walizonazo zinazobond na bandari Moja kwa moja.....

Huu ukweli hausemwi!....

Tutapata mapato pengine mara 3 zaidi!...ya kile bandari inachoingiza sasa....huu ni ukweli mchungu....

Baadhi ya wanasiasa wanaoikataa Dp world....

wanatumia nguvu kubwa kwa kuwa ukweli ni kwamba mirija yao itakuwa imekatwa RASMI!

Na hichi kitu watakipinga kwa jasho na damu Hadi tone la mwisho ...
 
Kuna Watu Sijui tumelogwa???Kweli tunawapa Watu bandari Alafu wafanyabiashara????Toka lini mfanyabiashara akafanya fair..Inaumiza hawa viongozi hawana Hekima na uzalendo.
 
Kiongozi awe kama pambo tu ..unachekeshe kabisa hamna nchi kama hiyo dunia
 
Mafisadi ndio wanaopinga uwekezaji huu wa DP.....

Mafisadi hawataki mifumo ya TEHAMA isomane kati ya TPA na TRA.....

Kuja kwa wawekezaji ni MSUMARI WA MOTO KWAO.....

Mbowe anapotosha....

Mbowe ni MWONGO......

#SiempreJMT[emoji120]
Hiyo mifumo ya tehama haihitaji hata 10b kuwekeza ,ni utashi tu kwa kisiasa ,rais anasimama anasema mifumo haionani ,anakuja waziri naye ,wakati kuna vijana tu wa kwaida wanaweza kufanya hiyo kazi
 
Anasema ameambiwa pia Kuna mengi ambayo yatafanyika nje ya mkataba

Binafsi nilichosokitika ni ile anasema dp world wamepewa exclusive rights kwenye ardhi yoyote wanayotaka kwa ajili ya kufanya kazi zao
Kwa hiyo Mama kuna mengi ambayo ameyaingia nje ya mkataba.
 
Mafisadi ndio wanaopinga uwekezaji huu wa DP.....

Mafisadi hawataki mifumo ya TEHAMA isomane kati ya TPA na TRA.....

Kuja kwa wawekezaji ni MSUMARI WA MOTO KWAO.....

Mbowe anapotosha....

Mbowe ni MWONGO......

#SiempreJMT[emoji120]
TPA ni ya Tanzania, TRA ni ya Tanzania, serikali inashindwa vipi isisomane?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…