Hata waliotaka atawale milele jibu wanaloWenye Matumaini na Upinzani Kushika Dola! Sahauni! CCM Inajiandaa Kuua Kabisa na Kuuzika Jumla
Preamble!. "Ukiona mwenzako ananyolewa!" na "Ukiona kwa mwenzako kuna ungua!, kwako kunateketea!" Wale wote wenye matumaini na mategemeo kuwa kuna siku upinzani wa nchi hii, utakuja kushika dola!, hawa ni wishful thinkers na day dreamers, wanao ota ndoto za mchana, wasahau kabisa!. Lengo la...www.jamiiforums.com
Hiyo dhambi unayomtukuza nayo ndiyo imempeleka kuzimu. Mungu anaipenda sana Tanzania ndiyo maana DIKTETA pamoja na kuiba kura za Serikali za Mitaa zote za 2019 na uchaguzi Mkuu wa 2020 ili awe Rais wa milele na kufia madarakani. Mungu akasema inataka kufia madarakani? akamkubalia na kafa baada ya siku 114Magufuli aliwachalaza chadema akiwa hai na bado anawachalaza akiwa mfu!
Mbowe yuko sahihi kabisaNapinga sana huu uana harakati anaofanya Mbowe.
Ukweli iwapo kila tendo tutataka kulijadili kiundani kama anavyotaka,hali inaweza kubadilika sana kwa kuamsha hisia kali za wanaoonekana kama wameonewa.Na bahati mbaya kisasi huwa kinafanywa kwa watu wasio husika kabisa.
Ninadhani Mbowe anataka kwenda mbali sana.Sijui anataka nini.Mashehe wameachiwa,kwa nini hilo pekee lisitoshe kumshukuru Mungu?
Kusema kweli natamani adhibitiwe,kwani hizi siasa zina lengo la uchochezi.
NdiyoooooKwa hiyo mtu akiihujumu chadema anakufa?
Hizi hasira unazozionesha hapa inaonesha ni jinsi gani anavyokuchalaza akiwa mfu!Na yeye anacharazwa na malaika aliowadhihaki kuwa anataka awe kiongozi wao. Yaani pimbi Magufuli amwongoze malaika Gabriel/Jibril? Jamaa yenu alikuwa taahira.
Kwa hiyo Baregu nae aliihujumu chadema?Ndiyooooo
Hili coment yako inaonesha ni jinsi gani anavyokuchalaza huku akiwa kafa!Hiyo dhambi unayomtukuza nayo ndiyo imempeleka kuzimu. Mungu anaipenda sana Tanzania ndiyo maana DIKTETA pamoja na kuiba kura za Serikali za Mitaa zote za 2019 na uchaguzi Mkuu wa 2020 ili awe Rais wa milele na kufia madarakani. Mungu akasema inataka kufia madarakani? akamkubalia na kafa baada ya siku 114
Na huyo mungu wako mbona hajaitoa ccm madarakani na kumfanya Lisu kuwa rais?Hiyo dhambi unayomtukuza nayo ndiyo imempeleka kuzimu. Mungu anaipenda sana Tanzania ndiyo maana DIKTETA pamoja na kuiba kura za Serikali za Mitaa zote za 2019 na uchaguzi Mkuu wa 2020 ili awe Rais wa milele na kufia madarakani. Mungu akasema inataka kufia madarakani? akamkubalia na kafa baada ya siku 114
Mh.Mbowe anaongea.....
Viongozi wa kiroho wanakataza watu wasilitumie neno MWENDAZAKE. Mimi ninapenda kuwaambia viongozi wangu ukifanyacho hapa duniani ndicho utakachovuna. Viongozi wetu hawa walikaa kimya watu wetu walipouawa, potezwa nk. Walikaa na kunywa mezani pa watesi weyu......
My Take
Anachomaanisha Mbowe ni kwamba ile kamati ni ya kinafiki.
Wew kweli ni chizi, waweza kuta una zaidi ya miaka 25 lakini ndiyo hivyo tenaSasa kwa mahasira kama haya kwa nini usipeleke kutafuta hela ili ukoo wako unaoliwa na umasikini upate nafuu?
Katiba mpya unafikiri inakujia mezani kama unavyowekewa ugali kwa shemeji alikoolewa dadako?
Katiba mpya unafikiri inakuja baada ya kusaini petition ya kumtoa Diamond BET?
Msiwe misukule.
Tumeshawazoea mkiambiwa ukweli mnafura kama hiviWew kweli ni chizi, waweza kuta una zaidi ya miaka 25 lakini ndiyo hivyo tena
Endeleza mawazo ya Afande Sele nyie ndo mnajifanya kila kitu mnajua na mko sahihi kwa kila jambo. Unaposema dini takataka unamaanisha nini? Hujui kuwa dini haina tatizo bali wanadamu ndo wanamatatizo, Mnapenda kulaumu watu huku mambo yako mwenyewe yanakushinda.Siwafichi mazee!Utawala wa jpm umenifanya niyachukia haya ma dini ya kizungu tuliyoletewa!kumbe Miaka yote tulikuwa tunadanganywa kuwa kuna Mungu ndani ya madhehebu haya kumbe ni uchumi tu!!!SASA NASIMAMA MWENYEWE NA YULE ALIEAMUA NIWE MTU NA NIKAWA !!DINI ZOTE TUPA KULE TAKATAKA KABISA!!!
Koho koho... KohoooooMbowe lipa kwanza mishahara, hata wewe ulikaa kimya huku ukijua Sabaya ana karakana ya kutesa watu.View attachment 1820749
Angekuwa mjanja na mbabe asingekufa. Mbona amekufa ameiacha chadema [emoji1787][emoji1787]Magufuli aliwachalaza chadema akiwa hai na bado anawachalaza akiwa mfu!
Wadhibitiwe hao wanafiki wasaka tonge wasiojua maana ya amani halafu wanajiita kamati ya amani! Hao ni wachawi tu!Napinga sana huu uana harakati anaofanya Mbowe.
Ukweli iwapo kila tendo tutataka kulijadili kiundani kama anavyotaka,hali inaweza kubadilika sana kwa kuamsha hisia kali za wanaoonekana kama wameonewa.Na bahati mbaya kisasi huwa kinafanywa kwa watu wasio husika kabisa.
Ninadhani Mbowe anataka kwenda mbali sana.Sijui anataka nini.Mashehe wameachiwa,kwa nini hilo pekee lisitoshe kumshukuru Mungu?
Kusema kweli natamani adhibitiwe,kwani hizi siasa zina lengo la uchochezi.
Ile siku waliyotangaza kwamba amekwenda zake kuungana na babu zake, nilijawa na furaha isiyoelezeka na hadi sasa nina furaha na amani. Halafu mtu ambaye ni biriani ya funza kwasasa anawezaje kunicharaza?Hizi hasira unazozionesha hapa inaonesha ni jinsi gani anavyokuchalaza akiwa mfu!
Tunasubiri arudi aje amalizie kazi yake alioianzisha enzi za uhai wake.Aliyesema ataua upinzani yupo wapi