Mbowe na CHADEMA mnataka kumkwamisha Rais Samia kwakuwa amewalegezea kidogo?


..wakati mwingine kiongozi anapokosea inabidi umuache aendelee na maamuzi yake na muda ndio utamfundisha kuwa amekosea.

..suala la kujenga au kurekebisha uchumi ni la muda wote as long as kuna serikali madarakani.

..sasa Rais Samia Suluhu amekuwa ktk uongozi muda mrefu, sikutegemea atoe kauli kama ile,lakini kwasababu ameitoa, basi tumpe muda na huko mbele ya safari, ktk muda muafaka, tutamhoji kuhusu uchumi.

..hapa naona ni kama ametupa wananchi hoja za kuupima uongozi wake. Kama uchumi wa nchi utaboreka, uwekezaji utaongezeka, ajira zitaongezeka,...
 
Kwao hiyo waislam hamtaki katiba kwa kuwa Raisi ana jina la kiislamu. Hamuachagi upumbavu wenu nyie watu
 
Pointi zipi wakati ndo kwanza gharama za maisha zinazidi kupanda

Mafuta bei juu
Chakula bei juu
Simu bei juu
 
We bwanamdogo nilidhani umeshapevuka na allegations zako za udini kumbe bado?! Tangu.enzi za jk ww na udini hadi leo.
Sie tunataka katiba rais awe muslamu, mbudha n.k
 
unakubali MEKO alikuwa muharibifu bora amenyakuliwa faster?
maana mihula iliyopita kabla ya MEKO hali ilikuwa bardiiiii Kuingia MHUTU mambo ni faya faya faya MUNGU akauzima

Yah,alikuwa ni kivuruge sana
 
Mjomba nakusoma vizuri nakuona kabisa majibu yote unayo ila umeamua tu kuifanya hii safari ya Katiba Mpya iwe ndefu zaidi, sijui kwa nini, kama hakuna muda kamili wa kumalizia hiyo kazi ya kujenga uchumi, kwanini basi uchumi na Katiba Mpya visiende kwa pamoja?
 
Hakuna mwana cccm anataka Katiba hiyo ya Samia kutaka kupewa muda ni Diversion kama za watawala wote wa ccm kuahirisha jambo ukweli ni kwamba hana NIA anachofanya nikuvuta muda wakukaa na kuondoka madarakani ili atakaekuja nae ataomba apewe muda chakufanya wote tunaojielewa tumwambia HAPANA tunataka KATIBA BORA sasa
 
Mama alituambia tushikamane tujenge uchumi na tusimzingue.
Mbowe alikuwa kimya ughaibuni sasa karidi na kuanza uchokozi
 
Mama anajizingua au anamzingua Mbowe? ukweli upo wazi Mama chini ya mwanvuri wa CCM hawezi kuongoza taifa bila kutumia nguvu,kwa kuwa ameyataka madaraka ajiandae tu kwa jina jipya Rais wa kwanza dikteta mwanamke, sijui kama atalipenda? lakini hana budi kuwatizama watoto wa mwendazake wanalifurahia hilo jina aliloliacha mwendazake? je wana furaha katika hayo? hasira ya waathirika nayo je haiwatii hofu? wana furaha ya kusimama mbele ya umma na kulitaja jina lake bila washika mitutu nyuma yao?
Mimi nasema ni yeye tu, katiba inamruhusu kuwa hivyo! huku akichagizwa na vigeregere vya wajinga wachache mataga wanaomchagiza kupita njia hiyo, akijisahau tu atapita mlemle kwa mwendazake furaha yake ni ya muda mfupi lakini madhara yatakilamba hadi kizazi chake cha nne, kwani histolia haitamsamehe over and out.
 
Mama alituambia tushikamane tujenge uchumi na tusimzingue.
Mbowe alikuwa kimya ughaibuni sasa karidi na kuanza uchokozi
Wenye shida ni wanao fanya uonevu kwa wengine na kukandamiza haki zao za msingi.
 
Haki yako isibigudhi ya wengine
 
Jingalao yupo kwenye kona yenye heri kwake na familia yake,kinachotokea kwa neighbor wake hajali na hizi ni elements za ukatili wa roho yake,kwake ni furaha mno kuona hali hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…