Uchaguzi 2020 Mbowe: Ndani ya saa 72 nitakuwa Waziri Mkuu


Mbowe unawadanganya kina nani ? wakazi wa njee ya hai au Kilimanjaro? watu wa Hai ndio ambao hawakutaki na sio Magufuli.

Labda angekuja mwanachadema mwingine wangempa kura. Wamachame hawakutaki wewe na unafahamu nini sababu.

Nipo Lyamungo Sinde na nitakaa nione nini kinatokea baada ya uchaguzi, voters here have no political feeling with you.

Kama mtalazimisha Kawe shauri yenu, sababu Dar tunakwenda kuhemea na sio Machame. Machame Kura zitakuumbua.

NEC mumsaidie kipesa alete wasaidizi vituo vyote ili muondoe uwongo unaojaribu kutengeza. In electoral politics, it comes a time voters do not need you, it is part and parcel of election appealing circles. Spew out your lies to non Machames, but here in Hai contituecy you know, and sundries know we wait for your defeat with impatience.

The sad story of the matter, it seems there is a disconnect between residents of Hai vs non residents of Hai in regards to choices.
 
Da uchaguzi huu mtam mfano balozi wangu wa shina ni mzee ,Sasa sijui ataanzia wapi kuniteka maana akiniteka nitahakikisha nakula chakula kwake mwaka mzima Tena ninachokitaka mpaka akome, mwafaa ccm
 
Tena ndani ya 48hrs ndio upepo wa CCM umebadilika sana angalieni Lissu akitua Dar watu wengi wamebadilisha mawazo
 
Exit Polls ndio Ramli muhimu

Nyie mnafanya siasa za mahaba mnaacha kuweka mahaba kwa wananchi, we angalia tu hata twitter, magufuli anakaribia followers mil 1, karibia wana ccm wengi wanacheza mil 1 - mil 5, sasa chadema lissu mwenyewe ana 150K. badala muinteract na wananchi mnafanya siasa za mahaba!

- Hakuna uchaguzi chadema imeenda na haijasema huu uchaguzi ndo tunachukua nchi kila miaka mitano story ni zilezile na matokeo ni yale yale.
 

Hahaha Nguseroh Tundu hapitiiii tena chadema wajiandae kupoteza nafasi za wabunge
Alikosea kuanza kampeni kwa kuwadharau wabongo
 
Yanini tutoane koromeo 28 sio mbali halafu tuje tukutane humu
 
Data zilisema Hilary Clinton atashinda kwa Landslide dhidi ya Trump

sasa siasa za marekani ni vyama viwili, your either huku ama kule, uikusanya data its either B ama A, tanzania ukikusanya data upinzani wapo 40 tayar
 
ukitaka kujua matokeo ya uchaguzi mzima wa kesho kutwa, hii video ina majibu yote! shirikisha ubongo maaana data anazosema
ni watu walilipwa kufanya uchunguzi huu utajua wap mnakosea na mwaka huu mnatoka na ngap

stakehigh umefukua kaburi😆😆😆
Ila Tundu anawadharau sana watanzania mfyuuuuu
 
Yanini tutoane koromeo 28 sio mbali halafu tuje tukutane humu
hahaha kila mwaka maneno ni haya haya hakuna lipya, au nkuletee post za jinsi lowasa hata uchaguzi hujafanyika kaenda kupanda dalala kutatua kero za wananchi, route ni zile zile and be asured kuna uwezekano ccm wakakutawala maisha yako yote, jumlisha 10 ya magu, jumlisha 10 ya anaekuja maaana lazima atembelee kivuli cha magu, akifanya vizuri kumi tena! ongeza miaka 30 kwenye umri ulionao saahv, na wakifanya vizuri zaidi rambo rambo yako watafanyia kampeni
 
sasa siasa za marekani ni vyama viwili, your either huku ama kule, uikusanya data its either B ama A, tanzania ukikusanya data upinzani wapo 40 tayar
Mango zangu ni kukuonyesha kuwa kura halali hadi zipigwe ndio tutajua
 
Jitekenye cheek ila tarehe 28 ndio msema kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…