Uchaguzi 2020 Mbowe: Ndani ya saa 72 nitakuwa Waziri Mkuu

Ni 65% hadi 75% kwa upepo Huu... TUNDU LISSU
 
Wewe na huyo jamaa yako wote ni wapumbavu.
 
Hakuna mwenyekiti wa chama punguani kama huyo mzee. Aendelee kula faru John zake, urais atauona kwenye TV tu.
 
Wananchi waendelea kutekwa na Polisi Zanzibar
 
Msikilize Mwanamama Cecilia Pareso akimwaga Madini Arusha, Lema mdomo wazi.
Akili tupu.


 
Polisi watoka Baruti baada ya wao kulianzisha Mashambulizi yakajibiwa

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mwisho wenu umefika rasmi , wanafiki wakubwa nyie
 
Nashangaa moderator anakubali kurusha uzi wa uchochezi wa aina hii. JF tunajua mwelekeo wenu wa siasa ukoje lakini achaeni upendeleo wa wazi mnaoonesha hivi sasa na kuruhusu nyuzi kama hizi tu kwa sababu zinaegemea kuchafua CCM. Kuweni fair japo najua ni ngumu kwenu
 
Inakuwaje wanajamvi!

Wanasayansi wanadai kuna hormones flan za furaha kwa binadamu hata viumbe vingine wanazo vikireact unajikuta unatoboa siri zote.

Mbowe kashajua Lissu atashinda na yeye atakuwa Waziri mkuu. Lakini amenisikitisha sana angesubiri tu hadi Jumatano saa nne asubuhi.

Jumatano si mbali akumbuke kuna wachawi wabobezi kwenye mbogamboga anaweza akapigwa juju, kimbola ama kipamphii.

Ila iyo haitatokea Mungu yupo upande wetu.

Tanzania mpya iko mbioni over the horizon maporomoko ya maziwa na asali. Ni kama waMeru wakiamua kumwaga maziwa kutoka mlimani itasomba Makabila yote.

Sasa hivi kama ni mfanya biashara mjanja NUNUA mzigo mkubwa wa fataki utatajirika. Tarehe 28/10/2020 itakuwa siku ya uhuru taifa jipya kutoka kwa mkoloni fedhuli mweusi.

Mungu tusaidie.
 
Hivi mawakala ni walipwa shilingi ngapi kwa siku?

Ushindi ni sayansi na sayansi ni hesabuπŸ’₯
Kuna vitu vimejificha katika sentensi yako. Najua wamaanisha nini haha
 
Wasijidanganye kuua wakala ndio itakuwa chanzo cha kuvuruga uchaguzi na hapo ndio MABEBERU watakapoingia kusimamia Uchaguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…