bin haroub
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 1,662
- 812
Kwa maana hiyo Lisu kugombe uenyekiti ni kukosa shukurani Hee uenyekiti umezua mambo“Lissu nimemjenga na nimemsaidia kwa mambo mengi. Unapokuwa hauna Shukrani kwa mambo madogo hauwezi kuwa na shukrani kwa mambo makubwa. Kuna wakati ninajiuliza huyu ni Lissu, the boy, the guy, the friend ndiyo anayasema haya?” Freeman Mbowe
Binadamu ameumbwa na moyo na damu inatembea. Inaumiza unapoona mtu uliyemsaidia makubwa INCLUDING kunusuru maisha yake baada ya kupigwa risasi 16 na Magufuli, kwa maamuzi ya kutompeleka Muhimbili.
Lissu hakupaswa kwenda PERSONAL kwenye majukwaa na kumkashifu Mbowe
MkuuDunia ya Leo ambayo ipo kasi sifikirii mtu makini anaweza kujisifu Kwa haya mambo .
Gari
Nyumba
Tickets za Ndege
Mapambano yetu haiyaitaji pesa au hela Ila yanahitaji spirit ya upambanaji .
Unfortunately mtu anapojisifu Kwa haya mambo je anakuwa amekosa hoja zenye mashiko.
Ila Mbowe ndio mwenye hatimiliki ya kumshambulia LISSU Kwasababu tu alimpa Magari ya kampeni?.Binadamu ameumbwa na moyo na damu inatembea. Inaumiza unapoona mtu uliyemsaidia makubwa INCLUDING kunusuru maisha yake baada ya kupigwa risasi 16 na Magufuli, kwa maamuzi ya kutompeleka Muhimbili.
Lissu hakupaswa kwenda PERSONAL kwenye majukwaa na kumkashifu Mbowe
Chanzo cha yote hayo ni mbowe kumtaka lisu asigombee uenyekiti wa chama wala urasiLissu hana nia ya kuongoza chochote lengo lake ni kuharibu tu na kukimbilia Belgium.
Hivi unadhani kweli lisu hamfahamu mbowe!? Ndugu hao wote ni misumari ya motoLissu, na wafuasi wako hamfahamu vizuri Mbowe. Muulizeni Dr Slaa.
Na hapo pa KUTOPINDISHA maneno ndipo panamuondolea sifa ya kuwa kiongozi mzuri.Lissu hapindishi maneno anatoa black and white .
MBOWE je kwenye kuporomoka kwa Mlima Hanang umewajengea waathirika wangapi nyumba?Dunia ya Leo ambayo ipo kasi sifikirii mtu makini anaweza kujisifu Kwa haya mambo .
Gari
Nyumba
Tickets za Ndege
Mapambano yetu haiyaitaji pesa au hela Ila yanahitaji spirit ya upambanaji .
Unfortunately mtu anapojisifu Kwa haya mambo je anakuwa amekosa hoja zenye mashiko.
Kutambulika na mataifa yanayo promote LGBT unaona ndiyo kitu cha kujivunia?Mbowe alilazimika kumpa msaada wa Mali Kwa sababu aliona LISSU anakit kikubwa sana na miwaambie LISSU kakiletea CDM wafuasi wengi na kutambulika Kimataifa..
alitoa hivyo vyote sio kwa sababu alikuwa anamsaidia, haikuwa charity, alikuwa anatoa kwa maslahi yake kwenye chama na upinzani ambavyo Lisu alienda kutimiza na yeye akayapata hayo maslahi. ukiwa na ubongo mzuri huwezi kuongea haya kwa Lisu ambaye hadi amepata ulemavu akipigania chama, as if yeye mbowe ndio amesacrifice zaidi ya Lisu? huyu jamaa uwezo wake ni mdogo sana.Nimeandika Jana humu Mahali
👇
Kama hizi ndo tetezi anazotambia FAM dhidi ya TAL .
Kweli ni mkubwa tu wa Umri basi, inamaana Mjomba alomsomesha Mpwa wake, ni lazima Mpwa wake akubalia na Kila jambo la Mjomba?.
Kwan hiyo nyumba na Gari hakuwapa wengine, kwann LISSU?.
Kumbe huyu jamaa naona kwake Mali ni kitu Cha msingi sana maishan mwake,
Kwa mashudu haya, MBOWE NI FISADI KUU.
Tunasubiri mnyukano mwingine heavy hapo baadae stay tunedVita ya wenyewe kwa wenyewe inayoendelea ndani ya CHADEMA imefunua
Mzee umeandika headings mbili yaani kwenye kichwa cha uzi na kwenye content umeweka heading nyingine...Vita ya wenyewe kwa wenyewe inayoendelea ndani ya CHADEMA imefunua
Safari hii amewahiwa kabla ya umafiaLissu, na wafuasi wako hamfahamu vizuri Mbowe. Muulizeni Dr Slaa.