Pre GE2025 Mbowe: Nimetoka mbali na Lissu, nilikuwa namlipia tiketi za ndege kwenda Tarime kuwatetea wachimbaji madini

Pre GE2025 Mbowe: Nimetoka mbali na Lissu, nilikuwa namlipia tiketi za ndege kwenda Tarime kuwatetea wachimbaji madini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
“Lissu nimemjenga na nimemsaidia kwa mambo mengi. Unapokuwa hauna Shukrani kwa mambo madogo hauwezi kuwa na shukrani kwa mambo makubwa. Kuna wakati ninajiuliza huyu ni Lissu, the boy, the guy, the friend ndiyo anayasema haya?” Freeman Mbowe
Kwa maana hiyo Lisu kugombe uenyekiti ni kukosa shukurani Hee uenyekiti umezua mambo
 
Nimeandika Jana humu Mahali
👇
Kama hizi ndo tetezi anazotambia FAM dhidi ya TAL .

Kweli ni mkubwa tu wa Umri basi, inamaana Mjomba alomsomesha Mpwa wake, ni lazima Mpwa wake akubalia na Kila jambo la Mjomba?.

Kwan hiyo nyumba na Gari hakuwapa wengine, kwann LISSU?.

Kumbe huyu jamaa naona kwake Mali ni kitu Cha msingi sana maishan mwake,

Kwa mashudu haya, MBOWE NI FISADI KUU.
 
Binadamu ameumbwa na moyo na damu inatembea. Inaumiza unapoona mtu uliyemsaidia makubwa INCLUDING kunusuru maisha yake baada ya kupigwa risasi 16 na Magufuli, kwa maamuzi ya kutompeleka Muhimbili.

Lissu hakupaswa kwenda PERSONAL kwenye majukwaa na kumkashifu Mbowe

Lissu hapindishi maneno anatoa black and white .
 
kwa hiyo hapo alikuwa anamsaidia lisu au alikuwa anawasaidia watu wa tarime ambao Lisu alijitolea kuwatetea? unaona akili zilizokosa shule zilivyo? Lisu amejitolea kutetea watu waliolishwa maji machafu ya mgoni, anahatarisha hata maisha yake kwa ajili ya wale watu, mbona anamchangia chochote iwe pesa, iwe gari au nauli, halafu anaamini alikuwa anamsaidia Lisu.
 
Dunia ya Leo ambayo ipo kasi sifikirii mtu makini anaweza kujisifu Kwa haya mambo .

Gari
Nyumba
Tickets za Ndege

Mapambano yetu haiyaitaji pesa au hela Ila yanahitaji spirit ya upambanaji .

Unfortunately mtu anapojisifu Kwa haya mambo je anakuwa amekosa hoja zenye mashiko.
Mkuu
Mpaka sasa jamaa hajatabainisha sera ama ahadi zake zaidi ya kutetea upuuzi kuwa hakutokuwa na ukomo wa madaraka....

Hawa ndo wale wakipigana kibuti na demu wanakumbushia mpaka gharama za toothpicks walizolia chips
 
Binadamu ameumbwa na moyo na damu inatembea. Inaumiza unapoona mtu uliyemsaidia makubwa INCLUDING kunusuru maisha yake baada ya kupigwa risasi 16 na Magufuli, kwa maamuzi ya kutompeleka Muhimbili.

Lissu hakupaswa kwenda PERSONAL kwenye majukwaa na kumkashifu Mbowe
Ila Mbowe ndio mwenye hatimiliki ya kumshambulia LISSU Kwasababu tu alimpa Magari ya kampeni?.

LISSU kusadiwa na Mbowe, Kwan wangapi wamesaidiwa? Je wamekua na Nyota kama aliyokupa nayo LISSU?.

Mnajua mtofautishe haya mambo, Kuna MTU unaweza msaidia Kwa sababu wee una Mali zako hivo huumiii na unayemsaidia anaweza baadae asiwe kitu chochote hapa Duniani, nahapo utamkejeli, nilikusaidiaaa Sanaa lkn ulishindwa mwenyewe

LISSU ana Uwezo wake mwenyewe ambao akianza kuonyesha angalia mbichiiiii .

Fikiria, LISSU alikua na miaka mingapi wakati anawatetea watu wa TARIME MGODINI???...Kwa miaka hiyo Huo uthubutu aliuoata wapi?.

Mbowe alilazimika kumpa msaada wa Mali Kwa sababu aliona LISSU anakit kikubwa sana na miwaambie LISSU kakiletea CDM wafuasi wengi na kutambulika Kimataifa.

Mbowe anatembelea Nyota ya LISSU ambao imekua kuuuuubwa kumfunika yeye yaan sahizi ulisema CHADEMA ,unaanza kumuwaza LISSU kwanza , LISSU amekua lijitu likuuubwa ambalo Mbowe anaona ni threat kwake.
 
Lissu hapindishi maneno anatoa black and white .
Na hapo pa KUTOPINDISHA maneno ndipo panamuondolea sifa ya kuwa kiongozi mzuri.

Kiongozi mzuri anachukua muda kuchuja aongee nini?, kwa wakati gani ? na kwa kadamnasi ipi??
 
Jamani kwani kugombea uenyekiti ni dhambi ???😂😂😂😂
 
Dunia ya Leo ambayo ipo kasi sifikirii mtu makini anaweza kujisifu Kwa haya mambo .

Gari
Nyumba
Tickets za Ndege

Mapambano yetu haiyaitaji pesa au hela Ila yanahitaji spirit ya upambanaji .

Unfortunately mtu anapojisifu Kwa haya mambo je anakuwa amekosa hoja zenye mashiko.
MBOWE je kwenye kuporomoka kwa Mlima Hanang umewajengea waathirika wangapi nyumba?
 
Mbowe alilazimika kumpa msaada wa Mali Kwa sababu aliona LISSU anakit kikubwa sana na miwaambie LISSU kakiletea CDM wafuasi wengi na kutambulika Kimataifa..
Kutambulika na mataifa yanayo promote LGBT unaona ndiyo kitu cha kujivunia?

Hivi akili zenu mnazipeleka wapi nyie pimbi?
 
Nimeandika Jana humu Mahali
👇
Kama hizi ndo tetezi anazotambia FAM dhidi ya TAL .

Kweli ni mkubwa tu wa Umri basi, inamaana Mjomba alomsomesha Mpwa wake, ni lazima Mpwa wake akubalia na Kila jambo la Mjomba?.

Kwan hiyo nyumba na Gari hakuwapa wengine, kwann LISSU?.

Kumbe huyu jamaa naona kwake Mali ni kitu Cha msingi sana maishan mwake,

Kwa mashudu haya, MBOWE NI FISADI KUU.
alitoa hivyo vyote sio kwa sababu alikuwa anamsaidia, haikuwa charity, alikuwa anatoa kwa maslahi yake kwenye chama na upinzani ambavyo Lisu alienda kutimiza na yeye akayapata hayo maslahi. ukiwa na ubongo mzuri huwezi kuongea haya kwa Lisu ambaye hadi amepata ulemavu akipigania chama, as if yeye mbowe ndio amesacrifice zaidi ya Lisu? huyu jamaa uwezo wake ni mdogo sana.
 
Vita ya wenyewe kwa wenyewe inayoendelea ndani ya CHADEMA imefunua
Mzee umeandika headings mbili yaani kwenye kichwa cha uzi na kwenye content umeweka heading nyingine...

lete usuli
 
Tuacheni mambobyakisenge huyu jamaa yenu tangu atupe ule mkanda wa mauaji ya bulyanhulu alikuwa chawa wa mbowe, na isitoshe ndo kaididimisha chadema, enzi za akina zitto mdee luhwanya kitila prof baregu kafulila cdm kilikuwa imara. jamaa yenu kaleta mambi ya hovyo, na tulimkanya mbowe kuwa wagenikoko watakutoa kwenye reli

hizi siasa za black panrther, siasa zakushambulia watu in person hazina tija. huyu jamaa yenu sialikuwa kule leat na nchala walifika wapi? nasema kweupe huyu jamaa uwezo wa kuipeleka cdm mbele hana.
 
Back
Top Bottom