Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Mzee umeandika headings mbili yaani kwenye kichwa cha uzi na kwenye content umeweka heading nyingine...
lete usuli
Wanaukumbi.
Halafu mtu anachukua form kukupinga Eti ni Demokrasia,hiyo siyo Demokrasia huo ni uchimbi kabisa, Lissu katumwa.
---
“Nimetoka mbali na Lissu. Nilikuwa ninamlipia Lissu tiketi za ndege ninamgharamia safari zake kwenda Tarime kuwatetea wachimbaji Wadogo. Wakati huo hakua hata Mwanachama wa CHADEMA na nilikuwa nina mfadhili kwa mfuko wangu”.
View attachment 3194365
Hiyo sio sababu ya lissu kutogombea uwenyekiti wa chadema, uwenyekiti utatolewa na wajumbe wa mkutano mkuu, mbowe anataka kuua chama chake kwa mikono yake mwenyeweWanaukumbi.
Halafu mtu anachukua form kukupinga Eti ni Demokrasia,hiyo siyo Demokrasia huo ni uchimbi kabisa, Lissu katumwa.
---
“Nimetoka mbali na Lissu. Nilikuwa ninamlipia Lissu tiketi za ndege ninamgharamia safari zake kwenda Tarime kuwatetea wachimbaji Wadogo. Wakati huo hakua hata Mwanachama wa CHADEMA na nilikuwa nina mfadhili kwa mfuko wangu”.
View attachment 3194365
..Yaani analialia tu, kwani lengo kuu la chadema ni nin? Mbowe kuwa mwenyekiti?Oooh maskini Mbowe siku hizi hana akili
Ndo hivyo Lissu hafai kuwa Mwenyekiti wenu Chadema. Mbowe ndo anafaa🤣 🤣 🤣
Tenda wema nenda zako.
Kwa hiyo?Wanaukumbi.
Halafu mtu anachukua form kukupinga Eti ni Demokrasia,hiyo siyo Demokrasia huo ni uchimbi kabisa, Lissu katumwa.
---
“Nimetoka mbali na Lissu. Nilikuwa ninamlipia Lissu tiketi za ndege ninamgharamia safari zake kwenda Tarime kuwatetea wachimbaji Wadogo. Wakati huo hakua hata Mwanachama wa CHADEMA na nilikuwa nina mfadhili kwa mfuko wangu”.
View attachment 3194365
Kabisa. Lissu hafai kuwa Mwenyekiti wala mwanachama wa CDM. Tusikubali awe hata mtu baki. CCM tupo na Mbowe.Tutakapomaliza uchaguzi, lazima tushughulike na Lissu kwa nguvu kubwa sana. Mbowe.
Ndicho kitu sahihi ambacho kila kwenye utimamu wa kiakili angefanya. Isipokuwa maslahi binafsi haya.Mimi ningekuwa Mbowe ningekaa pembeni
Hilo hatuwezi kubali. Mbowe ndo anafaa... Ni mtu anayesikiliza. Lissu haambiliki. Mbowe ana busara sana. Na Urais aje agombee yeye. Kwa kweli chadema nawahurumia sana kumfikiria Lissu. Wakimchagua Lissu tutawapoteza vibaya sana.Kuna watu wanadhani Lissu atashinda yaani Mbowe ampe Lissu Chadema.
Ukiona adui yako anakupigia makofi na kushangilia simama na ujihoji. By magu.Kabisa. Lissu hafai kuwa Mwenyekiti wala mwanachama wa CDM. Tusikubali awe hata mtu baki. CCM tupo na Mbowe.
Hapana. Sisi tunakitakia mema chadema. Lissu ataua chama.Ukiona adui yako anakupigia makofi na kushangilia simama na ujihoji. By magu.