Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Mzee umeandika headings mbili yaani kwenye kichwa cha uzi na kwenye content umeweka heading nyingine...
lete usuli
Nyie wafuasi wa Tundu Lissu
Hii vita ya wenyewe kwa wenyewe inayoendelea ndani ya CHADEMA mimi naifurahia saaana. Naombea isiishe. Nataka iendelee ili tuyajue mauchafu yao….kutekana, kuumizana, kudanganya, kuzusha, na mauchafu chafu mengine ambayo wamekuwa wakiyaficha huku wakijifanya ni watu wema sana walio na maadili...