Pre GE2025 Mbowe: Nimetoka mbali na Lissu, nilikuwa namlipia tiketi za ndege kwenda Tarime kuwatetea wachimbaji madini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Maelezo yamekuwa ni mengi kuliko mahitaji
 
Unadhani Mbowe ameingia uadui na Lissu au Lissu ameingia uadui na Mbowe?
 
Mbowe usikubali chama chako kichukuliwe kizembe fanya kama ulivyowafanyia kina Zitto, Kafulila Chacha, Kitilia.
Mnamkanyagisha mzee wa watu!! Muacheni akae pembeni
 
Wanaukumbi.

Halafu mtu anachukua form kukupinga Eti ni Demokrasia,hiyo siyo Demokrasia huo ni uchimbi kabisa, Lissu katumwa
The guy is talented buana. Anyway muda unamkataa
 
“Lissu nimemjenga na nimemsaidia kwa mambo mengi. Unapokuwa hauna Shukrani kwa mambo madogo hauwezi kuwa na shukrani kwa mambo makubwa. Kuna wakati ninajiuliza huyu ni Lissu, the boy, the guy, the friend ndiyo anayasema haya?” Freeman Mbowe
Mzee anaona anataka kupolwa tonge na Lissu, mbowe must go!
 
Lissu alipoachana na mkewe wa ndoa aliyepambania maisha yake kiasi kile akaenda oa mzungu.... alipomtukana Samia yale matusi licha ya kumpa Passport na mengine mengi nilianza mtilia mashaka sana!!
Mke wa Lissu ni Mtanzania, ni mtu wa Mara kama sikosei.
 
Ayo maneno kama anaongea huyo mzee,walahi itakuwa ameanza kurukwa na akili
 
Wanaukumbi.

Halafu mtu anachukua form kukupinga Eti ni Demokrasia,hiyo siyo Demokrasia huo ni uchimbi kabisa, Lissu katumwa
Alimuona ana uwezo kichwani kisheria, ndiyo maana alimtumia. Angekuwa mbumbumbu asingemlipia ndege kuwatetea hao wachimbaji. Lakini pia hawakuwekeana mikataba kuwa asingembee. Tatu, sheria haimkatazi kugombea.
 
“Lissu nimemjenga na nimemsaidia kwa mambo mengi. Unapokuwa hauna Shukrani kwa mambo madogo hauwezi kuwa na shukrani kwa mambo makubwa. Kuna wakati ninajiuliza huyu ni Lissu, the boy, the guy, the friend ndiyo anayasema haya?” Freeman Mbowe
Kwa hiyo ulitaka Lissu asigombee ama??
 
Kwa hiyo hizo ni rushwa kwake na alitakiwa kunyamaza?
Huyu mzee kaishiwa hoja.
 
I am not so much against term limits as I am against the idea that the chairman's seat is Mbowe's birthright and anyone else contesting it is sabotaging the party.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…