CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Na haya masimango ajue Lissu akijibu mapigo Mbowe atakuwa uchi kabisa.Mimi ningekuwa Mbowe ningekaa pembeni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na haya masimango ajue Lissu akijibu mapigo Mbowe atakuwa uchi kabisa.Mimi ningekuwa Mbowe ningekaa pembeni
Kwani kila unachotoa ni lazima kiwe na faida kwako?Hayo yooote alikuwa akimfanyia kwa faida ipi?
Maelezo yamekuwa ni mengi kuliko mahitajiSafari zake? Safari za Lissu kwenda Tarime kuwatetea wananchi dhidi ya wamiliki wa Mgodi wa North Mara na Seriksli hazikuwa 'safari zake za Tarime', zille zilikiwa ni safari zenye public interests. Mbowe hakuwa pekee aliyemchangia Lissu, wachangiaji walikuwa ni wengi sana.
Kwa hiyo Mbowe haoni faida ya wale watu zaidi ya 400 kuteyewa ma Lissu hadi wakaachiwa?
Unadhani Mbowe ameingia uadui na Lissu au Lissu ameingia uadui na Mbowe?
Wamachame mumekasirika kweli Chadema ni ya watanzania na si Wamachame peke yenu.chama chochote duniani hakitaki mwanachama dizain ya lissu.
lisu ni sectret mafia sema anatafuta huruma kwa roporopo .
if lissu win he is going to ruin our beautiful chadema ever
Huu uchaguzi mbona kama wa kimataifa...viongozi wa Dini na Mabalozi pia waalikwe kuwa waangalizi.
Mnamkanyagisha mzee wa watu!! Muacheni akae pembeniMbowe usikubali chama chako kichukuliwe kizembe fanya kama ulivyowafanyia kina Zitto, Kafulila Chacha, Kitilia.
The guy is talented buana. Anyway muda unamkataaWanaukumbi.
Halafu mtu anachukua form kukupinga Eti ni Demokrasia,hiyo siyo Demokrasia huo ni uchimbi kabisa, Lissu katumwa
Mzee anaona anataka kupolwa tonge na Lissu, mbowe must go!“Lissu nimemjenga na nimemsaidia kwa mambo mengi. Unapokuwa hauna Shukrani kwa mambo madogo hauwezi kuwa na shukrani kwa mambo makubwa. Kuna wakati ninajiuliza huyu ni Lissu, the boy, the guy, the friend ndiyo anayasema haya?” Freeman Mbowe
Mke wa Lissu ni Mtanzania, ni mtu wa Mara kama sikosei.Lissu alipoachana na mkewe wa ndoa aliyepambania maisha yake kiasi kile akaenda oa mzungu.... alipomtukana Samia yale matusi licha ya kumpa Passport na mengine mengi nilianza mtilia mashaka sana!!
Ayo maneno kama anaongea huyo mzee,walahi itakuwa ameanza kurukwa na akiliMbowe kupitia Crown FM anasema kwenye uchaguzi wa kwanza Lissu akiwa CHADEMA Mbowe alimpa gari yake binafsi ili akafanyie kampeni. Pia anasema Nyumba aliyokuwa akiishi Lissu pale Dodoma ilikuwa yake aliyopewa na Serikali Ila akamuachia Lissu aishi yeye Mbowe akaenda kupanga.
Alimuona ana uwezo kichwani kisheria, ndiyo maana alimtumia. Angekuwa mbumbumbu asingemlipia ndege kuwatetea hao wachimbaji. Lakini pia hawakuwekeana mikataba kuwa asingembee. Tatu, sheria haimkatazi kugombea.Wanaukumbi.
Halafu mtu anachukua form kukupinga Eti ni Demokrasia,hiyo siyo Demokrasia huo ni uchimbi kabisa, Lissu katumwa
Acha zako,sa hivi Mbowe anamhitaji Lissu kuliko Lissu anavyomhitaji MboweLissu, na wafuasi wako hamfahamu vizuri Mbowe. Muulizeni Dr Slaa.
Mzee sasaivi we ni chadema!!?Lissu haa akishinda hawezi kupewa chama.
Wanaunga unga vijisyori tu ili mradi wasikikeMke wa Lissu ni Mtanzania, ni mtu wa Mara kama sikosei.
Kwa hiyo ulitaka Lissu asigombee ama??“Lissu nimemjenga na nimemsaidia kwa mambo mengi. Unapokuwa hauna Shukrani kwa mambo madogo hauwezi kuwa na shukrani kwa mambo makubwa. Kuna wakati ninajiuliza huyu ni Lissu, the boy, the guy, the friend ndiyo anayasema haya?” Freeman Mbowe
Kwa hiyo hizo ni rushwa kwake na alitakiwa kunyamaza?Wanaukumbi.
Halafu mtu anachukua form kukupinga Eti ni Demokrasia,hiyo siyo Demokrasia huo ni uchimbi kabisa, Lissu katumwa.
---
“Nimetoka mbali na Lissu. Nilikuwa ninamlipia Lissu tiketi za ndege ninamgharamia safari zake kwenda Tarime kuwatetea wachimbaji Wadogo. Wakati huo hakua hata Mwanachama wa CHADEMA na nilikuwa nina mfadhili kwa mfuko wangu”.
View attachment 3194365
I am not so much against term limits as I am against the idea that the chairman's seat is Mbowe's birthright and anyone else contesting it is sabotaging the party.Mbowe yuko sahihi. 'term limit' is by nature anti-democratic. hiyo haimaanishi kwamba ni kitu kibaya; inamaanisha tu kwamba ina-limit uhuru wa watu ku-exercise their democratic right ya kupiga na kupigiwa kura. ni kawaida kwa kitu kuwa na faida na hasara:
Hizo zama zilishapita. Haya ni majira na nyakati tofautiLissu, na wafuasi wako hamfahamu vizuri Mbowe. Muulizeni Dr Slaa.
Chama sio mali yake ni mali ya wanachama.Kwa akili yako hata Lissu akishinda Mbowe atampa chama?