Mbowe: Rais Samia haaminiki, aweke hadharani mkataba wa bandari ili tuuone

Kazi kweli kweli
 
wenye nchi ni wananchi
 
Makonda Group mmefufuka😆😆😆
 
Mwamba kaunguruma.
Katika hili, ninakuunga mkono.
Mtake Mwenyekiti ashkilie hapo hapo na asilegezi kitu.

Mwenyekiti ni mtu tunayeweza kumwamini, kwamba anayosema hapa ni kweli kuhusu kuaminika kwa Samia; kwa sababu hakuna mwenye uzoefu mkubwa zaidi ya Mwenyekiti na uhusika wake na Samia.

Kwa hiyo, anayoyasema Mwenyekiti, watu wayachukulie kwa uzito wake.
 
Sahihi
 
Na hatari kubwa wanayotakiwa kuitambua Watanzania kuhusu ufufuko wa IGA hiyo, ni kumpa Samia serikali yake mwenyewe, kuanzia 2025.

Kwa namna yoyote ile, huyu mama akifanikiwa kuendelea kuwepo kwenye nafasi hiyo baada ya 2025, tutakuwa tumepigwa vibaya sana.

Watu ni lazima walitambue hili kungali mapema.

Sasa hivi anahangaika kuzima akili za watu wasahau maovu aliyopanga dhidi ya nchi hii kwa kila namna awezayo, hata kuteua watu ambao hawana uwezo, mradi tu ionekane anaungana na kundi kubwa la watu wanaoweza kumsaidia kurudi madarakani. Hizi ni hadaa za kijinga, lakini kuna watu watakaozolewa nazo.
 
Na hatari kubwa wanayotakiwa kuitambua waTanzania kuhusu ufufuko wa IGA hiyo, ni kumpa Samia serikali yake mwenyewe, kuanzia 2025...
Tayari tushawasiliana na Mungu kwa maombi maalum
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…