Mimi langu ni kukumbusha wewe, na kupitia kwako kuwakumbusha CHADEMA.umeandika uongo
Endelea kuota usingizi angalie usivae pampas dogoMimi langu ni kukumbusha wewe, na kupitia kwako kuwakumbusha CHADEMA...
Nothing lasts longer, labda kama huna akiliEndelea kuota usingizi angalie usivae pampas dogo...
Nothing lasts longer , labda kama huna akili
Kulikoni mbona umeghairi kutundika namba yako ya simu kama kawaida!!! ๐ ๐Mbowe aache utapeli wake hapa wa kuwahadaa wafuasi wake ambao alishawachukulia kama manyumbu wake.yeye
Rais wetu anaaminika na ndio maana Anaendelea kuungwa mkono na watanzania wote ikiwepo viongozi wa Dini zote hapa nchini.mbowe akae kwa kutulia na kuendelea kutafuna pesa za nyumbu wake.
Kweli nimeamini wewe huna akili hata kidogo.Tangia lini na wapi ambako mkataba wa kibiashara unaaanikwa hivyo kama soksi za viatu?Wewe ni mjinga. Umedanganywa kwa maneno nawe umehadaika. Leta mkataba hapa unaosema mkataba ni wa miaka 30. IGA tumeiona, ipo kwenye maandishi. Hatuwezi kuhadaika na maneno ya mdomoni bila uthibitisho.
Leta hapa IGA inayosema kuwa HGA zitakuwa za vipindi maalum, na kwamba nchi itakywa na uwezo wa kujitoa kqenye HGA wajati wowote itakapoona kuna sababu za msingi za kufanya hivyo.
Sisi wengine siyo wajinga wa kudabganyika kiurahisi kama mnavyodanganywa ninyi. Na tuna access ya kupata uwongo na hadaa zote wanazozjtengeneza.
Mkuu Erythrocyte , nakubaliana na wewe kwa asilimia 100% ya 100% kuwa wenye nchi ni wananchi, na sio tuu wenye nchi ni wananchi, bali wenye katiba ni wananchi, viongozi ni waajiriwa tuu wa wananchi, hivyo ni watumishi wa wananchi.wenye nchi ni wananchi
Mkuu Magonjwa Mtambuka , japo sijui umri wako, ila mimi ni mtu wa 60s, hivyo watu wa 60's tunahesabika humu jukwaani, hivyo baadhi yetu mimi nikiwemo tunajihesabu ni wazee, tunajiheshimu, na tumejitolea kuwafundisha nyinyi wadogo zetu heshima ya mijadala.Pascal Mayalla kasema Mbowe keshapigwa dafrao๐๐๐คฃ๐
Mbowe akili kubwaAkihutubia Maelfu ya Wananchi huko Nkasi kwenye ile Oparesheni Kabambe inayoitwa Oparesheni 255 okoa Bandari zetu, Mwenyekiti wa Chadema, Feeman Mbowe, amesema Rais Samia haaminiki na ili tuamini kile kilichosainiwa jana alichodai ni mkataba wa bandari na DP WORLD ya Dubai basi mkataba huo uwekwe hadharani. Hii ni kwa sababu tunaweza kuwa tumepigwa (zilongwa mbali zitendwa mbali).
Awali Wananchi walimtaka Mbowe aombe nakala ya mkataba huo ili wauone na kujiridhisha kama kilichosemwa ndicho kilichoandikwa .