Mbowe: Rais Samia haaminiki, aweke hadharani mkataba wa bandari ili tuuone

He who alleges must prove. Wewe Bams kwa mujibu wa hiyo sheria/ principle ndiye UNAPASWA kutuonyesha ushahidi kuwa SIYO miaka 30 na nchi haina uwezo wa kujitoa.

Kama huwezi kutuonyesha basi wewe ni MZUSHI tu. Kwa kiingereza wewe ni Romour monger
 
Halafu ladifaken TEC anakubali kuingia mkenge na ujinga huu
 

View: https://twitter.com/MwananchiNews/status/1716655499209273352?t=S5z8FcYyXlFO7oWui2ENYw&s=19
 
Kweli tupu
 
Mbowe ni mjanja sana katika siasa ! Hapo yeye anajua kuwa hayo anayoyasema kuhusu huo mkataba atapata uungwaji mkono mkubwa kutoka kwa Wananchi ambao wengi wetu hatujui kanuni za mikataba kama hiyo ya Bandari zinasemaje !

Lakini yeye hizo kanuni anazijua zinasemaje !! Kinachotafutwa hapo ni political mileage tu !!
Hii ni kama mchezo wa Tom and Jerry πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜‚πŸ™
 
Acha upuuzi wako, mbona mkipelekwa mahakamani inakuwa public? hatuoni kwenye website za nchi nyingine? huu usiri wenu wa kitapeli dili za watu mnatuambia ni DP World
Weka ushahidi wa uyasemayo, huo wa nchi zingine.

Kumbuka mahakama zipo aina mbili, kuna mahakama za wazi na kuna mahakama za chamber. Amazo hata huelewi kinajadiliwa nini humo.

Anayepewa ushauri akusikiliza bila kuufanyia kazi, huyo ni nusu mtu
Anayepewa ushauri akausikiliza na akaufanyia kazi huyo ni mtu kamili.
Anayepewa ushauri asiusilize kabisa, huyo ni mtu sifuri, hakuna mtu hapo.
 
Hili ni anguko kubwa na kwa wale wanaitwa wanaharakati, siku zote usiseme utafanya kitu kama kile kile kitu huwezi kukifanya inamaliza uaminifu(credibility) Sasa wale jamaa kuja kuwa tunaandamana tarehe 9 Nov halfu ije siku ujikute uko mtaani wewe peke yako hilo ndio anguko lako. Kuandaa maandamano sio jambo rahisi la kukurupuka tu. Issue ya bandari imeisha kwa sasa. Uchaguzi utakuja 2025 kama unadhani ni karata bado watumie lakini nadhani ni chama hakijui kinasimamia nini? wapo wapo tu
 
Awali Wananchi walimtaka Mbowe aombe nakala ya mkataba huo ili wauone na kujiridhisha kama kilichosemwa ndicho kilichoandikwa[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani mkataba wa Bomba la mafuta kati ya Uganda na Tanzania waliuona? waache kuwashwawashwa!!
 
Mshamba wa head! nani akuamini wewe chawa mchafu usiye na ustaarabu. Wewe ni shetani muongo hutaaminika kama mama ko saa100. Mwambie hatuhadaiki tena na kurembua macho kama jini mahaba!!
 
Mbowe kamgomea makamu wake Lissu kumpa nakala ya Maridhiano ila anataka Mikataba iwekwe hadharani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…