Mbowe vs Lissu = Mtoto wa mjini VS Bushman.. Wewe upande Upi?

Well said
 
Fala.
 
Acha basi upuuzi historia ya FAM kazaliwa machame na alianza masomo yake huko...
Utasema je yeye ni mtoto wa mjini?
 

CCM haina wenyewe zaidi ya watanzania wa makabila yote na dini zote na rika zote.

Bashiru Ali alikua CUF ,ndani ya CCM akawa katibu mkuu .
Polepole alikua mrengo wa kina Slaa kwa misimamo akawa mwenezi.

Mbowe ni tapeli,muuaji ,mwizi,mkabila, jasusi la CCM ,mlevi wa pombe na madaraka,mzinzi, mdini aliyewakataa waislam kutoka CUF , ,msanii,gaidi ,na mkwepa kodi ,mchafuzi wa mazingira , muuza nchi na bandari zetu akishirikiana na matapeli ndani na nje ya nchi. Kiufupi Mbowe hafai kabisa kuongoza tena harakati hata za kitongoji zikafanikiwa.

Na kwa sababu tumeamua kumkataa basi akitumia udanganyifu kusalia kwenye kiti uchaguzi ujao chama chake hakitapa hata mbunge mmoja kwani Madudu yake yatawekwa adharani kwa 95% ,kwa sasa ni 5% tano tu ya Madudu yake yaliyoguswa kidogo ,tutaweka mpaka njama zake za ugaidi na mauaji mtabaki midomo wazi bila kufungwa.
 
LIKUD futa hii, wewe size yako ni mada za kugegeda vibinti under 18 tu.
 
Kwa hali ya sasa inayoendelea katika Siasa za Chama Kikuu cha Upinzani - CHADEMA, kumekuwa na mkinzano wa maoni kati ya pande mbili kuu:
1. Kuna wale wanaoamini kwamba Mh Mbowe anatakiwa kupewa nafasi kwa mara nyingine - bila kujali kipindi kirefu alichokuwa madarakani kwenye nafasi hiyo - aweze kukamilisha maono ya chama ikiwemo - bila shaka - kushika dola.
2. Kwa upande wa pili, kuna wale wanaoamini kwamba Mh Lissu ana mawazo mapya na motisha zaidi kuweza kuyafanikisha maono ya Chama.
.
Hapa tujadiliane NI IPI NJIA SAHIHI kwa Chadema kuweza kuyafikia malengo yake kwa wakati huu?
.
Karibuni
 
Mawazo mapya ya kushinda mabarabarani bila strategic plan.
 
Lissu hana mawazo mapya hata kidogo.unaweza kusema bila shaka yoyote atakachokifanya CDM baada ya kushinda ni papara papara na vijembe vingi.
 
mimi ni mpinzani since day one ashinde mbowe sawa ashinde lissu sawa
 
Lissu hana mawazo mapya hata kidogo.unaweza kusema bila shaka yoyote atakachokifanya CDM baada ya kushinda ni papara papara na vijembe vingi.
Lakini huo ndo mtindo uliozoeleka hasa kwny siasa za upinzani.
 
Ndo shida, ukisha kula Chapati Tatu na maharagwe, mawazo kama haya hujitokeza.. πŸ™‚ πŸ™‚ πŸ™‚
 
Lissu hana mawazo mapya hata kidogo.unaweza kusema bila shaka yoyote atakachokifanya CDM baada ya kushinda ni papara papara na vijembe vingi.
Subiri kimbunga tar 21, utajua pesa si kila kitu.
 
Tundu Lissu X John Heche is the Movement.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…