Unatakiwa kujua kuwa ccm Ina wenyewe ,hata chadema pia Ina wenyewe .
Sasa wenye chadema Yao sio LISSU , HECHE Wala LEMA.
LISSU na LEMA walikaribishwa chadema kutoka vyama vingine iweje wamseme vibaya mwenyekiti wao Kwa kuwa alimpokea LOWASSA kutoka ccm ?
Wenye chadema pamoja na Mbowe wasimame kweli kweli kuakikisha chadema inapata watu sahihi na sio mamluki kama LEMA NA LISSU.
Dispora pamoja na TEC wanatumia vibaya ushawishi na udhamini wao wakijua wanaijenga chadema ya Sasa kumbe wanaiaribu mfano hivi Sasa chadema imeshagawanyika, wanaomfuata Mbowe na wanaomfuata lisuu .
Kuna watu awatakiwi kabisa kuongea chochote juu ya chadema Kwa Sasa mfano Lissu , LEMA na HECHE
CCM haina wenyewe zaidi ya watanzania wa makabila yote na dini zote na rika zote.
Bashiru Ali alikua CUF ,ndani ya CCM akawa katibu mkuu .
Polepole alikua mrengo wa kina Slaa kwa misimamo akawa mwenezi.
Mbowe ni tapeli,muuaji ,mwizi,mkabila, jasusi la CCM ,mlevi wa pombe na madaraka,mzinzi, mdini aliyewakataa waislam kutoka CUF , ,msanii,gaidi ,na mkwepa kodi ,mchafuzi wa mazingira , muuza nchi na bandari zetu akishirikiana na matapeli ndani na nje ya nchi. Kiufupi Mbowe hafai kabisa kuongoza tena harakati hata za kitongoji zikafanikiwa.
Na kwa sababu tumeamua kumkataa basi akitumia udanganyifu kusalia kwenye kiti uchaguzi ujao chama chake hakitapa hata mbunge mmoja kwani Madudu yake yatawekwa adharani kwa 95% ,kwa sasa ni 5% tano tu ya Madudu yake yaliyoguswa kidogo ,tutaweka mpaka njama zake za ugaidi na mauaji mtabaki midomo wazi bila kufungwa.