Sera za FAM ni zipi mkuu?The difference is clear.
Baada ya kutangaza nia kinachofuata ni kutafuta kura kwa wajumbe, kutangaza sera zako wajumbe wazipime, tofauti na hapo utaonekana kama mpiga kelele.
As a result ukishindwa unaanza kusingizia umeibiwa kura kumbe muda mwingi uliutumia kutoa lawama kwa mshindani wako tena pasipo na ushahidi.
Wajumbe hawaangalii wingi wa lawama wanaangalia ubora wa sera dhidi ya mpinzani wako ni kwa kiasi gani zitakisaidia chama kuvuka pale kilipo.
Zamani mngelisema Mbowe ni tajiri tangu anazaliwa na tangu Dully hajazaliwa. Ahahahahaha!!!Mugabe atahangaikaje wakati DULLY yupo?
Kwani kavunja katiba ya chama?Acha uchawa kwa ilipofika chadema inahitaji falsafa mpya mbowe hafai
Tafadhali sana acha matusi kama huwezi kujadili kilichopo sepa.Pumbavu, sasa mnapigania nini huko upinzani? Kama "overstaying is not an issue" kwanini basi CCM isiachwe tu ikaendelea kutawala milele? Ajabu sana, pesa za Abdul zimewatoa akili kabisa.
Tuambie sera za mtemi mbowe ni zipi?The difference is clear.
Baada ya kutangaza nia kinachofuata ni kutafuta kura kwa wajumbe, kutangaza sera zako wajumbe wazipime, tofauti na hapo utaonekana kama mpiga kelele.
As a result ukishindwa unaanza kusingizia umeibiwa kura kumbe muda mwingi uliutumia kutoa lawama kwa mshindani wako tena pasipo na ushahidi.
Wajumbe hawaangalii wingi wa lawama wanaangalia ubora wa sera dhidi ya mpinzani wako ni kwa kiasi gani zitakisaidia chama kuvuka pale kilipo.
Kwani wa tatu kang'ang'ania uenyekiti kwa miaka 20?Kwanii waliochukua fomu ya kugombea ni Lisu na Mbowe tu........mbona wa tatu ampendi kumuongelea?
Sera za FAM ni zipi mkuu?
Tuambie sera za mtemi mbowe ni zipi?
Lissu ni mjinga chizi mmojaYupo bize na akina dr slaa,maria sarungi na Msigwa huko x,wanakipaka matope chama anachoomba kukiongoza
Hii ni ajabu sana
Hakuna tusi lolote hapo, Upumbavu sio tusi. Mwenyekiti wenu Mkapa alipenda kutumia sana maneno " WAPUMBAVU & MALOFA" kwa watu kama wewe.Tafadhali sana acha matusi kama huwezi kujadili kilichopo sepa.
Soma vizuri mchango wangu.Sasa wewe ni nani umwambie Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu, anayetumia haki yake ya kikatiba ndani ya CHADEMA kugombea uongozi, hana haki ya kuwania uenyekiti?
Hakuna tatizo wanachama wa CHADEMA kuchukua mawazo ya wanaharakati kubadilisha uongozi wa CHADEMA.Soma vizuri mchango wangu.
Mimi sina tatizo na uchaguzi wa chama chao. Wanachama wanayo haki ya kuchagua yule wanayemtaka.
Ila angalia push imetokea wapi. Hata TAL mwenyewe alishakiri kuwa kuna watu walimshawishi aache umakamu agombee uenyekiti.
Ukichunguza kwa jicho la tatu utagundua waliomshauri agombee uenyekiti ni akina nani.
Itoshe tu kusema kuwa baadhi ya vipngozi na wanachama wa hiko chama chao pia ni wanaharakati (Members wa Sauti ya Watanzania na Change Tanzania). Kwa sababu hiyo lazima uone msuguano wa hao wanachama.
Wapiga kelele namba moja ambao hawataki demokrasia bali wanataka Mbowe asigombee ndio hao Members wa hizo NGO mbili nilizozitaja.
Otherwise ngoja tusubiri muda wa kampeni ili kila mmoja anadi sera zake, maana kama sera ni hizo alizozitoa kupitia hotuba yake wakati anachukua form naziona hazina mashiko maana madiliko yoyote ya kitaasisi yanafanywa kwa makubaliano ya vikao vya pamoja. TAL akiwa mjumbe wa vikao bado anayp nafasi ya kupendekeza mabadiliko, sio lazima awe mwenyekiti ndio afanye mabadiliko. Vinginevyo atakuwa mwenyekiti dikteta asiyejali taratibu za kiuongozi.
Henchman anagombea. Lazima mpambanie establishment ili muishi mjiniNilalame kwani mimi nagombea.
The difference is clear.
Baada ya kutangaza nia kinachofuata ni kutafuta kura kwa wajumbe, kutangaza sera zako wajumbe wazipime, tofauti na hapo utaonekana kama mpiga kelele.
As a result ukishindwa unaanza kusingizia umeibiwa kura kumbe muda mwingi uliutumia kutoa lawama kwa mshindani wako tena pasipo na ushahidi.
Wajumbe hawaangalii wingi wa lawama wanaangalia ubora wa sera dhidi ya mpinzani wako ni kwa kiasi gani zitakisaidia chama kuvuka pale kilipo.
Akina Msigwa na kikundi chake ndio walimshauri TAL aache kugombea umakamu agombee nafasi ya mwenyekiti.Soma vizuri mchango wangu.
Mimi sina tatizo na uchaguzi wa chama chao. Wanachama wanayo haki ya kuchagua yule wanayemtaka.
Ila angalia push imetokea wapi. Hata TAL mwenyewe alishakiri kuwa kuna watu walimshawishi aache umakamu agombee uenyekiti.
Ukichunguza kwa jicho la tatu utagundua waliomshauri agombee uenyekiti ni akina nani.
Itoshe tu kusema kuwa baadhi ya vipngozi na wanachama wa hiko chama chao pia ni wanaharakati (Members wa Sauti ya Watanzania na Change Tanzania). Kwa sababu hiyo lazima uone msuguano wa hao wanachama.
Wapiga kelele namba moja ambao hawataki demokrasia bali wanataka Mbowe asigombee ndio hao Members wa hizo NGO mbili nilizozitaja.
Otherwise ngoja tusubiri muda wa kampeni ili kila mmoja anadi sera zake, maana kama sera ni hizo alizozitoa kupitia hotuba yake wakati anachukua form naziona hazina mashiko maana madiliko yoyote ya kitaasisi yanafanywa kwa makubaliano ya vikao vya pamoja. TAL akiwa mjumbe wa vikao bado anayp nafasi ya kupendekeza mabadiliko, sio lazima awe mwenyekiti ndio afanye mabadiliko. Vinginevyo atakuwa mwenyekiti dikteta asiyejali taratibu za kiuongozi.
Sasa kama unakubaliana na maoni yangu kwa nini hao wanagarakati wanataka kuwapangia wajumbe cha kufanya! Tuwaache watekeleze demokrasia kwenye chama chao.Wanachama ndio wana mandate ya kuukubali au kuukataa uongozi, bila ya kujali mawazo hayo wameyapata wapi.
Wanaharakati huwa wanajiona wao wako sahihi muda wote, kwao demoktasia ni Mbowe aondoke hawana option nyingine.Sasa kama unakubaliana na maoni yangu kwa nini hao wanagarakati wanataka kuwapangia wajumbe cha kufanya! Tuwaache watekeleze demokrasia kwenye chama chao.
Hii mambo ya kusema Mbowe asigombee ni ukandamizaji wa demokrasia. Natamani kwenye chama chao wajitokeze wengi ili wajumbe wao wawe na option ya kuchagua.
Kwa sasa issue si wanaharakati kutaka kuwapangia wajumbe cha kufanya tena.Sasa kama unakubaliana na maoni yangu kwa nini hao wanagarakati wanataka kuwapangia wajumbe cha kufanya! Tuwaache watekeleze demokrasia kwenye chama chao.
Hii mambo ya kusema Mbowe asigombee ni ukandamizaji wa demokrasia. Natamani kwenye chama chao wajitokeze wengi ili wajumbe wao wawe na option ya kuchagua.
Kusema hoja ya kumuondoa Mkiti Imekuwa hoja baada ya Lissu kugombea haina mashiko, kwa hiyo Lissu asingegombea isingekuwa hoja.Kwa sasa issue si wanaharakati kutaka kuwapangia wajumbe cha kufanya tena.
Issue ya kumuondoa Mbowe kwenye uenyekiti imeshabarikiwa na Makamu Mwenyekiti. Hoja ya kwamba wanaotaka kumuondoa Mwenyekiti Mbowe ni wanaharakati tu haina nguvu tena. Hii hoja ilikuwa na nguvu wakati hakukuwa na mwanachama yeyote wa CHADEMA aliyechukua fomu kugombea uenyekiti. Muda huo hata mimi niliwaambia wanaharakati kuwa hoja ya kumuondoa Mwenyekiti inatakiwa kuwa endorsed na wanachama wa CHADEMA ili iwe na nguvu.
Baada ya Makamu Mwenyekiti kuchukua fomu kugombea Uenyekiti tu, hoja ya kumuondoa Mbowe kwenye Uenyekiti imekuwa ni hoja ya Makamu Mwenyekiti na kundi kubwa la wanachama wa CHADEMA, si ya wanaharakati tu. Kitu anachosema Tundu Lissu wazi hutakiwi kukidogosha kusema ni cha wanaharakati tu.
Hujaelewa.Kusema hoja ya kumuondoa Mkiti Imekuwa hoja baada ya Lissu kugombea haina mashiko, kwa hiyo Lissu asingegombea isingekuwa hoja.
Katiba ya Chadema iko wazi hakuna mtu anayekatazwa kugombea uenyekiti hata 2019 kuna wanachama waligombea na Lissu alikuwepo, mbona hatukuwaona wanaharakati wakihangaika kama safari hii.