Mbunge Getere: Boom lifutwe, wanafunzi wanatumia kulewea

Huyu mnwa ana elimu gani labda tuanzie hapo kujadili. Yawezekana tunadeal na mjinga mmoja.
 
Sema Ile Hela Kuna namna inapiga tafu sana
Yap kuna madogo class wanategemewa makwao. Yaani wanasoma huku wakisomesha, wakihemea nyumbani nk.

Wanapoelekea kumaliza boom la mwisho wanawaza itakuwaje baada ya chuo
 
Huyu mbunge fala nini?
Kwani hizo pesa ni hisani?
Hivi anajua boom lina impact % ngapi ya wanafunzi wa vyuo vikuu.
Tukisema CCM ni laana kwa nchi hii mnatutafuta mtuuwe. CCM wote vilaza.
 
Huyu mbunge fala nini?
Kwani hizo pesa ni hisani?
Hivi anajua boom lina impact % ngapi ya wanafunzi wa vyuo vikuu.
Tukisema CCM ni laana kwa nchi hii mnatutafuta mtuuwe. CCM wote vilaza.
Ndio ni hisani,zinaweza zikaondolewa
 
Walevi mmeguswa pabaya, mmekuwa mbogo!🤣🤣🤣
 
Hizo ndizo akili kubwa za CCM ambazo Magufuli aliiba uchaguzi ili wapite bila kupingwa. So sad.
 
Wao mbona wanajiongezea pesa na wanafurahi tu kimya kimya


Halafu kaboom chenyewe ni mkopo, yaani hadi mkopo wanatamani mtu asipate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…