Ahsante kwa taarifa.View attachment 3585096
Mbunge wa Lahn-Dill nchini Ujerumani, Mheshimiwa Johannes Volkmann wa chama cha CDU ameihoji Serikali ya nchi hiyo kwamba, inachukua hatua gani kwa Tanzania kutokana na mauaji ya raia katika uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 na kuhusu kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, aliyosema inakiuka misingi ya kidemokrasia.
Katika video iliyosambaa mitandaoni Aprili 6, 2026, Mheshimiwa Volkmann anauliza: “Mheshimiwa spika, swali langu linaelekea kwa Waziri Radovan, nataka nielekeze macho yetu Tanzania.
“Wakati wa uchaguzi mkuu kule Oktoba iliyopita kumetokea ukatili mbaya dhidi ya wanaosapoti upinzani, kusababisha maelfu ya vifo - mwenye wajibu ni serikali ya kijamaa. Wakati uleule Tanzania ni nchi rafiki (partner country) muhimu katika ushirikiano wa kimaendeleo, ikiwa imepokea Euro milioni 90 ya fedha ya ushirikiano wa maendeleo mwaka 2024.
“Hivyo basi swali langu ni wewe unatathmini vipi kufungwa kwendelevu kwa kiongozi wa upinzani Tundu Lissu haswa kwa kuzingatia viwango vya demokrasia na utawala bora na kukabiliana na matokeo haya tunachukua hatua gani kwa ushirikiano wetu wa kimaendeleo na Tanzania?” alihoji.
Akijibu swali hilo, Waziri wa Ushirikiano wa Kiuchumi, Reem Radovan alisema: “Asante Mbunge Volkmann, ukandamizwaji unaoongezeka wa uhuru wa vyombo vya habari, wa kujieleza na wa kukusanyika, ukiwemo ukandamizwaji unaovuka mipaka, unanitia wasiwasi.
“Kwa hiyo tunashirikiana na washirika wenzetu wa EU kudai uchunguzi wa visa vyote vya utekaji na kuachwa huru kwa wafungwa wote wa kisiasa akiwemo Tundu Lissu. Serikali ya Ujerumani katika mawasiliano yake na serikali ya Tanzania inadai tena na tena kukidhi kwa viwango vya utawala bora na demokrasia.
“Katika ushirikiano wetu wa kimaendeleo kimsingi tunalenga kusapoti miradi/juhudi za kukuza utawala bora na tukizingatia hali ilivyo nchini Tanzania tunakusudia kuendeleza approach hii.”
Bila kumpiga huyu hatawasikiliza. Lugha atakayoielewa ya USA/ISRAEL against Iran. Short of that ni dikiteita aliyekubuhuView attachment 3585096

apewe ripoti ya jaji chande ili aone ukweli wa mambo na sio kupayukapayuka mambo ya kufikirika tuView attachment 3585096

Mwambie ahoji mauaji ya wasio na hatia kule Iran kunakofanywa na wamarekani na IsraelLucas Mwashambwa njoo uone mama wanavyomsingizia
Checkmate..kete zinasukumwa kwa ustadi.Ahsante kwa taarifa.
Ila hii yatusaidia sie ktk harakati za kuitoa CCM?
Sisi hatuna wabunge. Ni kikundi cha wauwaji lazima wapigiane makofi na kugonga meza.Yaani maswali ya msingi wanauliza wabunge wa ujerumani! wakati sisi tunao wabunge wetu akina msukuma wachoweza kugonga meza tu.
Hiyo unayoita ripoti ya jaji chande ni ushubwada gentleman, ndiyo maana hata yeye Samia kaamua kuiweka kwapani.apewe ripoti ya jaji chande ili aone ukweli wa mambo na sio kupayukapayuka mambo ya kufikirika tu
apewe ripoti ya jaji chande ili aone ukweli wa mambo na sio kupayukapayuka mambo ya kufikirika tu
tuliza kipago basi kama nawe umeingizwa kichwakichwa na kupotoshwa kwenye masuala ya Tanzania kama huyo baloziHiyo unayoita ripoti ya jaji chande ni ushubwada gentleman, ndiyo maana hata yeye Samia kaamua kuiweka kwapani.
calm down bas gentleman,Hiyo takataka ni kwaajili ya ninyi wendawazimu wauaji. Hakuna mwenye akili timamu anayeihitaji hiyo takataka.
Relax Gentlemen hoja hujibiwa kwa hojaapewe ripoti ya jaji chande ili aone ukweli wa mambo na sio kupayukapayuka mambo ya kufikirika tu
Yes,Relax Gentlemen hoja hujibiwa kwa hoja