Mbunge wa Iramba Magharibi, Dkt. Mwigulu Nchemba ateuliwa kuwa Waziri wa Katiba na Sheria

Tanzania inahitaji RAIS kama aliyepo sasa asietabirika kesho atafanya nini

mwenye anafanya vitu kwa maslahi ya nchi na sio kufata sifa sifa za raia wanasema nn

haya sasa Mwigulu huyooo sijui wale vidomo domo watasema nn tena kiruuu.
Umeshafukizwa? Ndo maana unaweweseka.
 
waziri ni kiungo kati ya serikali na bunge. mtendaji mkuu ni katibu mkuu
 
Kama unataka mtu achaguliwe kuongoza kulingana na taaluma yake, kulikua hakuna haja ya watu kusoma Somo la uongozi. Ata DJ asinge stahili ata kuwa mfagiaji pale Unyumbuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…