celinawetu
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 1,330
- 1,059
Mbunge wa Moshi Vijijini (CHADEMA) Anthony Komu amesema kipindi chake kitakapomalizika, ataondoka katika Chama hicho na kugombea Ubunge kwa tiketi ya NCCR- Mageuzi
Mbunge huyo amesema CHADEMA imejaa tuhuma za ndani ya Chama na imepoteza mwelekeo wa kuwapigania Wananchi
Amesisitiza kuwa bado hajaondoka CHADEMA ataendelea kuwatumikia Wananchi wa Moshi Vijijini kwasababu walimpa heshima ya kuwaongoza
Komu amesema atajiunga NCCR-Mageuzi Uchaguzi Mkuu 2020 utakapofika. Ameahidi kuwa hatogombea tena Ubunge katika Jimbo hilo
My Take;
Kumekuwa na tetesi za muda mrefu kwamba Wanaohamia NCCR ni kama wameweka kituo cha muda mfupi kabla ya kwenda CCM ambaye ndiye mlipaji mkuu
Tunamtakia kila la heri kwenye maisha yake mapya huko aendako
Ngassa kurudi Yanga.Mbatia ni kama junction tu , safari ya Komu inaendelea .
Wacha kujitoa ufahamu,, pay master ni ccm! Hapo wanapiga break lakini destination yao ni ccm!Kanunuliwa na NCCR Mageuzi huyo.
Amenusa kuangushwa na Lucy kwenye kura za maoni 2020!Huruma ya Mbowe ndio imemfikisha alipo Komu , kura za maoni za 2015 aliambulia 17 dhidi ya 300 za Lucy Owenya .
Upuuzi mtupu.Shuzi tupu
Tamaa mbayaKaamua kumuachia jimbo Owenya; eti nitagombea popote isipokuwa Moshi Vijijini!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kufungua kesi kwa hoja kwamba kashindwa na mwanamke!?tangu Halima Mdee aseme James Mbatia ni puchu niliamini maneno yale na ukweli unaanza kudhihirika. wanasiasa aina ya lipumba na mbatia ni laana, balaa na mikosi kwa demokrasia ya nchi.
Shuzi tupuUpuuzi mtupu.
Lichama la ufipa linazidi kupukutika.
Wachawi utawajua tuu
Mbunge wa Moshi Vijijini (CHADEMA) Anthony Komu amesema kipindi chake kitakapomalizika, ataondoka katika Chama hicho na kugombea Ubunge kwa tiketi ya NCCR- Mageuzi
Mbunge huyo amesema CHADEMA imejaa tuhuma za ndani ya Chama na imepoteza mwelekeo wa kuwapigania Wananchi
Amesisitiza kuwa bado hajaondoka CHADEMA ataendelea kuwatumikia Wananchi wa Moshi Vijijini kwasababu walimpa heshima ya kuwaongoza
Komu amesema atajiunga NCCR-Mageuzi Uchaguzi Mkuu 2020 utakapofika. Ameahidi kuwa hatogombea tena Ubunge katika Jimbo hilo
My Take;
Kumekuwa na tetesi za muda mrefu kwamba Wanaohamia NCCR ni kama wameweka kituo cha muda mfupi kabla ya kwenda CCM ambaye ndiye mlipaji mkuu
Tunamtakia kila la heri kwenye maisha yake mapya huko aendako
Akili kama za mleta mada ndio wanaiua cdm. Ujuaji mwingi,dharau,kujiona wao ndio wenye uchungu,matusi,kejeli na kumtuhumu kila mwenye mawazo mbadala kuwa msaliti.Mbunge akijiuzuru na kuhamia Chadema ni shujaa, akienda chama kingine kanunuliwa. Ndio wimbo maarufu kwa sasa.
Akili zitawakaa sawa tu...
Mbunge wa Moshi Vijijini (CHADEMA) Anthony Komu amesema kipindi chake kitakapomalizika, ataondoka katika Chama hicho na kugombea Ubunge kwa tiketi ya NCCR- Mageuzi
Mbunge huyo amesema CHADEMA imejaa tuhuma za ndani ya Chama na imepoteza mwelekeo wa kuwapigania Wananchi
Amesisitiza kuwa bado hajaondoka CHADEMA ataendelea kuwatumikia Wananchi wa Moshi Vijijini kwasababu walimpa heshima ya kuwaongoza
Komu amesema atajiunga NCCR-Mageuzi Uchaguzi Mkuu 2020 utakapofika. Ameahidi kuwa hatogombea tena Ubunge katika Jimbo hilo
My Take;
Kumekuwa na tetesi za muda mrefu kwamba Wanaohamia NCCR ni kama wameweka kituo cha muda mfupi kabla ya kwenda CCM ambaye ndiye mlipaji mkuu
Tunamtakia kila la heri kwenye maisha yake mapya huko aendako
Upuuzi mtupu.Shuzi tupu
Kamuulize.
Pole dogo. tunaokula keki ya taifa tunawachora mnavyojipendekeza kwa watawala wasaniiBuku!
Cdm chama LA wana wenye akili kubwaAkili kama za mleta mada ndio wanaiua cdm. Ujuaji mwingi,dharau,kujiona wao ndio wenye uchungu,matusi,kejeli na kumtuhumu kila mwenye mawazo mbadala kuwa msaliti.
Lichama kama hilo,huungwa mkono na watu walishikiwa akili
Sent using Jamii Forums mobile app